Maisha Yana Maana Gani Hasa?

Maisha manake mambo yanayo isha..kuna jambo kuhusu sisi hatufii Ila kuna sababu zinazomaliza mwili nguvu na hapo ndio kimwili watasema umekufa lakini sisi hatufi boss..na inapofikia mwili kuishiwa nguvu mwili wako utawekwa sehemu waitayo kabuli na we kuendelea kuwapo na wakati huo utaitwa mzimu na hauna mwisho wakati ukiwa mzimu utakuwa na uwezo wa kuoperate kutegemea na upande unao uchagua maana utakuwa umeungana na uhai ambapo huo uhai wengine ndo wanaita Mungu
 
Nashangaa mtu anatafuta maana ya maisha , wakati maana ya maisha ni yeye tu🤔
Okay kamanda nimekupata ndo maana huwa najiamulia mambo na hakuna kiumbe wa kuniambia chochote
 
Hakika mkuu, as simple as that..

Maisha ambayo unajua hauna stress ule wapi, uishi wapi, ufanye nini ili u survive anakuwa bora na unaweza kutafuta maana ukiwa na comfort..

Ila maana haipo, ni kuzaliwa kuishi na kufa tu
Mkuu, Kwa mfano ukaambiwa mpe binadamu maana, fanya reschedule ya uhai uupe maana. Utapachika nini kwenye maisha ya mwanadamu yawe na maana?
 
Mkuu, Kwa mfano ukaambiwa mpe binadamu maana, fanya reschedule ya uhai uupe maana. Utapachika nini kwenye maisha ya mwanadamu yawe na maana?
Ni kama mnyama tu, anasaidia katika eco system basi.

Hizi inventions, na nafuu wa maisha ni kwa ajili ya kujiburudisha na kufanya mambo yetu yawe more reliable. Ila kufa na kuzaliwa kuko pale pale.

Sasa maana yake sisi ni wanyama wenye kudhani ni wa kipekee sana, but nothing essentially is more than that
 
Reactions: Tsh
Karibu freemason huwezi kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…