Halafu cha kushangaza tuananza kuhofia tutaonekanaje, yaani tunakosa confidence ya kufanya tuyatakayo kisa macho ya watu.Hata mimi, naona ni kama tumewekwa humu na majitu tuje tuonekane then upotee tu. Like a trap or something
Hamna just ku enjoy na kupoteza mawazoUnafikiri kunywa bia ndo kutaleta maana?
Issue ni collective dogma ya kudhani kuwa tuna umuhimu na watu wanatuona wa maana kumbe sisi na wanyama hatuna tofautiHalafu cha kushangaza tuananza kuhofia tutaonekanaje, yaani tunakosa confidence ya kufanya tuyatakayo kisa macho ya watu.
Ndoto?Hamna just ku enjoy na kupoteza mawazo
NB: Maisha wewe mwenyewe ndiyo utaya thamani na maana kutokana na jinsi unavyoishi na watu, kujituma, na kupambania ndoto zako nk.
100%Hivi vitu tunavyovitesekea havina thamani yoyote maana ni tunaviacha tu
Hoja unayo, almuradi Usiwe “suicidal”Binafsi sioni kabisa
Naona tunatokea na kupotea tu
Hivi vitu tunavyovitesekea havina thamani yoyote maana ni tunaviacha tu
Sioni maana ya uwepo kabisa.
Unazaliwa then una kufa tu
Sasa si bora tu usinge kuwepo?
What the hell are we doing here?
Hebu na nyie Semeni bwana humu duniani kuna nini cha maana?
Kutafuta wealth? Ili zije zinifanye kuwa mtumwa? Ku please mwanamke mwenye mwili na akili kama mimi?
Huu ni udwanzi jamani, yaani najuilizaga hii dhana ya kufanikiwa ina maana ipi kama mwisho ni mauti?
Hebu elezeeni na nyie maana sioni maana yoyote ya haya maisha. Bado Sija ona kwakweli. Una amka asubuhi kwenda kazini unarudi umechoka then unakula una lala kesho tena unarudia yale yale, je wewe ni mashine?
Huu ujinga sitaki tena, huu,
Mapenzi nayo yamekuwa magumu, tu hakuna wa kukuthamini na kukupenda,
Aisee, watu wana jaribu kutafuta namna ya kukutumia tu. Ujinga na kuzushiana maneno ndo habari za mjini.
Binafsi nataka niachane na kucheza huu mchezo wa kijinga. Maana it's too much now.
Hahaha! Huyo mfugaji atakuwa nani mkuu?Binadamu ni mfugo kama vile ilivo kuku, mbuzi au ng'ombe. utofauti ni kwamba sisi binadamu hatumuoni anaetufuga. ndo mana tunazaliwa bila kujua na bila kupewa nafasi ya kuchagua kama tunataka kuzaliwa au lah!! yaan unajikuta tu upo duniani. pia tunakufa bila kujua yaan hujui lini mwisho wako hapa duniani ila anaekufuga ndo anaamua ni siku gani akunyofoe duniani. ni kama vile we unavofuga mbuzi, wewe mfugaji ndo unaamua mbuzi huyu nimchinje lini kadri ya mahtaji yako. hzo dini ni illusion tu ambazo wajanja wachache walizianzisha ili kuweza kujinufaisha.
Ukihangaika tabuKwa kuwa tumeyaanza maisha bora tuendelee nayo tu. Binafsi huwa sioni maana ya maisha.
Kama nakuelewa hiviBinadamu ni mfugo kama vile ilivo kuku, mbuzi au ng'ombe. utofauti ni kwamba sisi binadamu hatumuoni anaetufuga. ndo mana tunazaliwa bila kujua na bila kupewa nafasi ya kuchagua kama tunataka kuzaliwa au lah!! yaan unajikuta tu upo duniani. pia tunakufa bila kujua yaan hujui lini mwisho wako hapa duniani ila anaekufuga ndo anaamua ni siku gani akunyofoe duniani. ni kama vile we unavofuga mbuzi, wewe mfugaji ndo unaamua mbuzi huyu nimchinje lini kadri ya mahtaji yako. hzo dini ni illusion tu ambazo wajanja wachache walizianzisha ili kuweza kujinufaisha.
Yeah, kweli.Issue ni collective dogma ya kudhani kuwa tuna umuhimu na watu wanatuona wa maana kumbe sisi na wanyama hatuna tofauti