Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,364
- 11,520
Sina raha masimango, nishabadili sana namba za simu mpaka kwenye mitandao wanagoma kunipa namba mpya. Nmebaki mimi tu na korodani zangu. Sina kitu kabisa.
Najiuliza wapi wananunua figo, ini au firigisi. Hivi viungo vipo viwili viwili naweza uza kimoja angaa nipate pesa nilipe madeni na pia kuendesha maisha.
Kuna haja gani unakaa navyo vyote na huoni faida yake?hata korodani zipo mbili anayetaka sababu ya kukosa watoto mimi mbegu zipo mpaka zinamwagika tu zenyewe.naweza kumpatia mtu hata nusu lita.
Juzi juzi hapa ndo nmeumia kusikia tena kila Mtanzania anadaiwa Mil 1.jamani jamani....mimi nlikopa wapi? Serikali iangalie hawa wabunge wanataka kutufunga bure. Mimi sijawahi kopa hiyo Mil 1. Mi ntailipaje?
Hapa nlipo nmejaa madeni kila kona.leo tena nakuja ambiwa nadaiwa mil 1. Kila mtanzania? Jamani why mnatufanyia hivi sisi.inatosha sasa. Inatosha. Haya madeni yamezidi sasa.