Maisha yamenishinda. Madeni mengi sana na mengine yanatangazwa. Nimechoka kabisa

Vyama pinzani wametuchelewesha mnoo!!!

Nasema uongo ndugu zangu!!!!

Alisikika Kada Mmoja!! Mtiifu( R I P )
 
Sina raha masimango, nishabadili sana namba za simu mpaka kwenye mitandao wanagoma kunipa namba mpya. Nmebaki mimi tu na korodani zangu. Sina kitu kabisa.

Najiuliza wapi wananunua figo, ini au firigisi. Hivi viungo vipo viwili viwili naweza uza kimoja angaa nipate pesa nilipe madeni na pia kuendesha maisha.

Kuna haja gani unakaa navyo vyote na huoni faida yake?hata korodani zipo mbili anayetaka sababu ya kukosa watoto mimi mbegu zipo mpaka zinamwagika tu zenyewe.naweza kumpatia mtu hata nusu lita.

Juzi juzi hapa ndo nmeumia kusikia tena kila Mtanzania anadaiwa Mil 1.jamani jamani....mimi nlikopa wapi? Serikali iangalie hawa wabunge wanataka kutufunga bure. Mimi sijawahi kopa hiyo Mil 1. Mi ntailipaje?

Hapa nlipo nmejaa madeni kila kona.leo tena nakuja ambiwa nadaiwa mil 1. Kila mtanzania? Jamani why mnatufanyia hivi sisi.inatosha sasa. Inatosha. Haya madeni yamezidi sasa.
Mkuu ungekuwa na hali hiyo ungepata hata bando la kukuweka hewani? acha kabisa kitu kuchacha !!
 
I hope moderators huu uzi hautamaliza masaa 24 mtatusaidia kuufuta maana ndio hizi zinafanya jamii forum inaonekana ni ya watu wasio na hekima siku hizi.

Sasa mtu anaamka anakuja na uzi analalamika utadhani ana shida ya ukweli halafu anaingiza utani katika uzi ambao maudhui yake aliuanza serious.....
 
Sina raha masimango, nishabadili sana namba za simu mpaka kwenye mitandao wanagoma kunipa namba mpya. Nmebaki mimi tu na korodani zangu. Sina kitu kabisa.

Najiuliza wapi wananunua figo, ini au firigisi. Hivi viungo vipo viwili viwili naweza uza kimoja angaa nipate pesa nilipe madeni na pia kuendesha maisha.

Kuna haja gani unakaa navyo vyote na huoni faida yake?hata korodani zipo mbili anayetaka sababu ya kukosa watoto mimi mbegu zipo mpaka zinamwagika tu zenyewe.naweza kumpatia mtu hata nusu lita.

Juzi juzi hapa ndo nmeumia kusikia tena kila Mtanzania anadaiwa Mil 1.jamani jamani....mimi nlikopa wapi? Serikali iangalie hawa wabunge wanataka kutufunga bure. Mimi sijawahi kopa hiyo Mil 1. Mi ntailipaje?

Hapa nlipo nmejaa madeni kila kona.leo tena nakuja ambiwa nadaiwa mil 1. Kila mtanzania? Jamani why mnatufanyia hivi sisi.inatosha sasa. Inatosha. Haya madeni yamezidi sasa.
IST imejinyonga
255759277397_status_122468c5473a4be4b102eb596f6180a2.jpg

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom