Maisha yamekuwa magumu mtaani

Maisha yamekuwa magumu mtaani

Mboju

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
200
Reaction score
339
Wazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku

Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli sijui hela ya chakula huku mwenye nyumba anadai kodi kwakweli ni taabu tupu

Wazee mwenye mchongo wowote wa kuingiza kipato basi tupeane jamani
 
Mnazaa watoto wanini Kama hamna uhakika wa maisha?
 
Wazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku

Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli sijui hela ya chakula huku mwenye nyumba anadai kodi kwakweli ni taabu tupu

Wazee mwenye mchongo wowote wa kuingiza kipato basi tupeane jamani
Njoo tubele zege huku, mpambanaji hachagui vita.
 
Wazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku

Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli sijui hela ya chakula huku mwenye nyumba anadai kodi kwakweli ni taabu tupu

Wazee mwenye mchongo wowote wa kuingiza kipato basi tupeane jamani
WENGINE SISI TUNASEMA LAKI SI PESA....NDEMBE NDEMBEE 😔😴

POLE NA CHANGAMOTO
 
Back
Top Bottom