Maisha yamekua magumu Naombeni msaada

ningekusaidia lakini kwa kusema unataka kumtoa out preta..nakunyima,yani nina wivu,huyo preta mi mwenyewe namtamani..nakuombea upate hela za mambo yote hayo uliyomention ila ukose ya kumtoa out preta tu..

hahahaha u have made me happy
 
Mtoe kwanza preta out hayo mengine utayafanya taratibu.

Nawe huna lolote! Ni wivu tu ndio unaokusumbua, angekuwa amesema ni WEWE anaetaka kukutoa out (badala ya Preta) wala usingetoa "ushauri" huu ulioutoa! Huu ushauri ni wa kizushi tu maana umemaniisha kinyume chake.
Uongo?
 
Back
Top Bottom