Maisha yamekua magumu Naombeni msaada

jossey1979

Senior Member
Apr 28, 2008
172
39
Jamani nina kadi 8 za Michango ya harusi.

nina Mdogo wangu karudi home Ada.

Kodi ya Nyumba inaisha mwezi huu.

Halafu nataka nimtoe out Preta.

yaani nitachanganyikiwa muda sio mrefu.
 
Lakin wenye nyumba wengine c waelewa.
Kwel cna cha kukushaur bt elimu muhimu msaidie dogo badae atakusaidia bana.
 
ningekusaidia lakini kwa kusema unataka kumtoa out preta..nakunyima,yani nina wivu,huyo preta mi mwenyewe namtamani..nakuombea upate hela za mambo yote hayo uliyomention ila ukose ya kumtoa out preta tu..
 
Habari za michango ya harusi weka Pembeni,usipoangalia utashindwa kusomesha
Lipa ada ya Mdogo wako
Baba/Mama mwenye nyumba mweleze hali uliyonayo na umlipe baada ya kuwa umelipa ada ya dogo

huyu maza house hasikii FL1.

yaani nafikiri kilai siku ikipita anatia Tick kwenye kalenda alivyo na hamu na hela ya kodi.
 
ningekusaidia lakini kwa kusema unataka kumtoa out preta..nakunyima,yani nina wivu,huyo preta mi mwenyewe namtamani..nakuombea upate hela za mambo yote hayo uliyomention ila ukose ya kumtoa out preta tu..

Nilikuwa cjasoma vizur!
Amtoe out Pacco au Preta?
Pretaaa! Kuliko umtoe Preta n bora umlipe mwenye nyumba au mtoe alaf kahamie kwake
 
ningekusaidia lakini kwa kusema unataka kumtoa out preta..nakunyima,yani nina wivu,huyo preta mi mwenyewe namtamani..nakuombea upate hela za mambo yote hayo uliyomention ila ukose ya kumtoa out preta tu..

nisaidie tu kaka.
 
Preta atakufilisi, atakuchuna halafu atambae ubaki unalia, tafuta kodi ulipe au unataka kutupiwa vitu nje?
 
acha kulipa ada ya dogo maana badae utakuja kujuta atakapopata division MwanaAsha.
MAPROSOO.
 
Fanya matumizi kulingana na mapato. Wakati huu fanya mipango itakayosaidia kuongeza kipato mfano kutafuta kazi nyingine na kujipanga na shule.
 
Hawa wa michango ya harusi wanaboa sana, wiki iliyopita nimepata kadi mbili moja mchango ni 60,000 na nyingine 50,000.
 
Habari za michango ya harusi weka Pembeni,usipoangalia utashindwa kusomesha
Lipa ada ya Mdogo wako
Baba/Mama mwenye nyumba mweleze hali uliyonayo na umlipe baada ya kuwa umelipa ada ya dogo

kuna kipindi ndugu yangu alitaka kuweka mwali nyumbani, yaani aoe. Kwenye kikao cha familia nikashauri kuwa wakishamaliza taratibu za kimila, avute kifaa chake ndani, ukizingatia maisha yalivyokuwa magumu na mtu mwenyewe ana mwaka mmoja kazini. Karibu familia yote ilinizodoa, ila nikamshauri huyo kakangu pembeni, since ni kakangu na rafiki yangu, I mean tumekua pamoja, nikamwambia aahirishe harusi (tofautisha na ndoa) mpaka pale hali yake itakapotengamaa kiuchumi, then anaweza kubariki ndoa kidini then afanye hata ki-cocktail party ambacho ataweza kukigharamia straight from his own pocket.
Iko hivi, ukiwachangisha leo, later on utalazimika kuwachangia upende usipende. Lakini usipowachangisha, huko mbeleni ni hiyari yako kuwachangia.
 
Duuh mkuu kweli maisha magumu, majukum yote hayo lakin bado na preta umemuweka orodhani?, mlipie dogo karo yake then kodi ya pango, mengne hayo ni bakshishi tu, preta atakuja humohumo ndani bhana...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom