Maisha ya Zambia

Maisha ya Zambia

Naitaji kwenda Zambia mwezi wa kwanza naitaji mnipe data za huko
 
Mkuu, ukitaka biashara nzuri fanya biashara ya kuuza chakula, fungua restaurant sababu Wazambia hawajui kupika, utapiga pesa mpaka ukimbie mwenyewe , Wazambia na Wamalawi kupika ni zero kabisa,
 
Mapishi gani wao hupendelea? Kapenta na nchima Ama zaidi Ya hapo?
 
Kanshi twalikwata bana Zambia muno ainii... Mlishani guys bonce ebo mwalishiba chibemba.

BACK TANGANYIKA
 
Mkuu, ukitaka biashara nzuri fanya biashara ya kuuza chakula, fungua restaurant sababu Wazambia hawajui kupika, utapiga pesa mpaka ukimbie mwenyewe , Wazambia na Wamalawi kupika ni zero kabisa,

Iwe ikala fye, tawishibe chilichonse.

Asikudanganye mkuu, Wazambia kwenye mapishi wako vizuri sana kwa Mapishi especially ugali chakula ambacho ndicho kinaliwa sana huko, Wali nikweli hawajui kupika wao hipika wali bokoboko na mara nyingi unakuta wanaweka sukari...!!! Na hii ni kawaida kwao kwasababu chakula hiki hakitumiki sana kwao, si ajabu hata mahotelini huwezi kukuta wali na ukipika unaweza kukudodea tifauti kwa Ugali na Chipsi.

Chakula kinachouza sana ni Ugali nyama na dagaa kwa mbali.. Shida kubwa kwao hawa jamaa wanaweka mafuta mengi sana hata kwenye mbogamboga kitu ambacho wao wamekizoea, ukipika tofauti na mapishi yao huuzi..!!

Uthibitisho ni pale Kitwe kwenye soko la Chisokoni, kunamgahawa spesho kwa Waswahili, huko unakutana na Chapati, Mandazi, Wali mpaka Pilau vitu ambavyo kwa mzambia ni ajabu labda kwa wale wanaokuja Tz kufuta bidhaa. Mgahawa huo unahudumia Watz zaidi na Wazambia kwa Uchache.

Zambia totoz pale ndo zilipoanzia, Hakuna biashara inayouza kama Madada poa wa Zambia.. ni wewe tu kujihadhali, kila mdada utakayekutana naye Mgonjwa...!! Kama siyo ukimwi basi hukosi Kaswende, Gono au Fangasi..!! Ni midada michafu, haijui chochote in da bed zaidi ya kulala kama tikiti..!! Guest huko bwana ni balaa.. ziko juu kishezi guest mbovu ambayo kwa bongo labda waweza lipa 5000 basi huko ni 30000...!!

Kama unataka kufanyabiashara huko, Fanya tour kwanza ya angalau Wiki moja. Nenda Kitwe kaa siku mbili, Nenda Lusaka, kaa siku mbili, Nenda Chingola, kaa siku moja na Mkushi, Mansa pia siku mojamoja, ukiweza pia fika Ndola, Mpika usiende hakuna essue.!!

Nadhani kwa namna fulani nrakuwa nimekusogeza mahala mjr95.

BACK TANGANYIKA
 
Habari zenu wana JF?

Naam wana JF naitaji kufahamu Mengi kutoka kwenu kuhusu maisha ya zambia jinsi yalivyo.

Naitaji kwenda kuwekeza kwenye biashara, vp hali ya uchumi ikoje huko pamoja na harakati za maisha kwa ujumla. Karibuni sana wana JF katika kutoa hoja zenu.

mh kwan huo mtaji wako ukiuwekeza tzania hapa hautatoka au
 
Iwe ikala fye, tawishibe chilichonse.

Asikudanganye mkuu, Wazambia kwenye mapishi wako vizuri sana kwa Mapishi especially ugali chakula ambacho ndicho kinaliwa sana huko, Wali nikweli hawajui kupika wao hipika wali bokoboko na mara nyingi unakuta wanaweka sukari...!!! Na hii ni kawaida kwao kwasababu chakula hiki hakitumiki sana kwao, si ajabu hata mahotelini huwezi kukuta wali na ukipika unaweza kukudodea tifauti kwa Ugali na Chipsi.

Chakula kinachouza sana ni Ugali nyama na dagaa kwa mbali.. Shida kubwa kwao hawa jamaa wanaweka mafuta mengi sana hata kwenye mbogamboga kitu ambacho wao wamekizoea, ukipika tofauti na mapishi yao huuzi..!!

Uthibitisho ni pale Kitwe kwenye soko la Chisokoni, kunamgahawa spesho kwa Waswahili, huko unakutana na Chapati, Mandazi, Wali mpaka Pilau vitu ambavyo kwa mzambia ni ajabu labda kwa wale wanaokuja Tz kufuta bidhaa. Mgahawa huo unahudumia Watz zaidi na Wazambia kwa Uchache.

Zambia totoz pale ndo zilipoanzia, Hakuna biashara inayouza kama Madada poa wa Zambia.. ni wewe tu kujihadhali, kila mdada utakayekutana naye Mgonjwa...!! Kama siyo ukimwi basi hukosi Kaswende, Gono au Fangasi..!! Ni midada michafu, haijui chochote in da bed zaidi ya kulala kama tikiti..!! Guest huko bwana ni balaa.. ziko juu kishezi guest mbovu ambayo kwa bongo labda waweza lipa 5000 basi huko ni 30000...!!

Kama unataka kufanyabiashara huko, Fanya tour kwanza ya angalau Wiki moja. Nenda Kitwe kaa siku mbili, Nenda Lusaka, kaa siku mbili, Nenda Chingola, kaa siku moja na Mkushi, Mansa pia siku mojamoja, ukiweza pia fika Ndola, Mpika usiende hakuna essue.!!

Nadhani kwa namna fulani nrakuwa nimekusogeza mahala mjr95.

BACK TANGANYIKA

Asante sana mkuu
This is useful
 
Nenda msumbuji Beira mzunguko nao Mkubwa tu saizi kuna bandari yao iko bize sana matruck kibao yanapeleka na kuchukua cargo toka Congo,Malawi,Zambia nk ila usije na mtaji wote njoo na kidogo ili ujifunze biashara au nn cha kufanya,Zambia na Malawi pia safi hasa kama wwe ni fund hawana mafundi wazuri Kwa fani mbalimbali utegemea toka tza
 
Back
Top Bottom