Dah..biashara gani? Ukilijua hilo ndiyo utajua kwa kuanzia[emoji13] [emoji13]Biashara mkuu, ila bado sijajua niwekeze sehemu gani sasa kutokana na kutoijua zambia
Habari zenu wana JF?
Naam wana JF naitaji kufahamu Mengi kutoka kwenu kuhusu maisha ya zambia jinsi yalivyo.
Naitaji kwenda kuwekeza kwenye biashara, vp hali ya uchumi ikoje huko pamoja na harakati za maisha kwa ujumla. Karibuni sana wana JF katika kutoa hoja zenu.
Enzi zetu tulikuwa tunapeleka cd kuuza...Kuna wengine walikuwa wanapeleka nguo kuuza,Kuna wengine wanapeleka nataka na vyakula....Kuna jamaa zangu wakijuwa wanapeleka Samaki aina ngonda toka ziwa rukwa....Bro funguka vizuri basi
Unajua nakufatilia kwa makini sana bro, we shuka madude briEnzi zetu tulikuwa tunapeleka cd kuuza...Kuna wengine walikuwa wanapeleka nguo kuuza,Kuna wengine wanapeleka nataka na vyakula....Kuna jamaa zangu wakijuwa wanapeleka Samaki aina ngonda toka ziwa rukwa....
Zambia nmekaa miji mungu TU Ila kitwe,pametulia kuanzia wenyeji hadi mazingira
USIOGOPE we tía timu laizima utapata picha huko wa nini kufanya...
OVA
N'a pia kulikuwa n'a fursa ya kukusanya skrepaUnajua nakufatilia kwa makini sana bro, we shuka madude bri
Tatizo Watz wezangu waoga sana kutembea na kujifunza kwanza kabla ya ku plan nini cha kufanya. Anatakiwa atenge kiasi kidogo cha pesa akatembee hata siku mbili au tatu. Umemshauri vizuriN'a pia kulikuwa n'a fursa ya kukusanya skrepa
Nishapiga hiyo mishe huko n'a kuleta tanzania zambia Kuna skrepa za kumwaga sema badaye,kukawa na longolongo wakazuiaa skrepa kuingizwa..
Nakumbuka tulikuwa tuna piga kambi kitwe....Kuna sehemu Kama unaelekea chingola katikati hapo panaitwa musengaa..watu tukawa tumeweka pozz....tunafanya yetu.
We Nenda katembea kwanza ukajifunze
utapata TU idea
OVA
Kweli kabisa akatembee kwanza atakutana n'a watanzania wengi tu,atajifunza vitu fulaniTatizo Watz wezangu waoga sana kutembea na kujifunza kwanza kabla ya ku plan nini cha kufanya. Anatakiwa atenge kiasi kidogo cha pesa akatembee hata siku mbili au tatu. Umemshauri vizuri
Wapo lakini wachafu.Warembo wapo.
Mh! Polepole ndugu.Kama wa kenya tuu hawanyoagi mavuzi
We nenda bwana, maisha kule safi.
Hebu fikiri shillingi laki moja ya Tanzania sawa na kwasha millioni 1.
Nenda usichelewe......