God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
sawaMh! Polepole ndugu.
sawaMh! Polepole ndugu.
Kiingereza japo walioko karibu na Msumbiji wanatupia na Kireno. Pia Zambia wana lugha zao za kikabila but da most spoken language is englishWanaongea lugha gani hasa?
Kiingereza japo walioko karibu na Msumbiji wanatupia na Kireno. Pia Zambia wana lugha zao za kikabila but da most spoken language is english
Sorry ndg kuna baadhi wanaongea Kireno bila shaka watakuwa na asili ya Msumbiji. Wazambia na watu wa Msumbiji South Africa ni wengi sana na ukiangalia kwa karibu wanasikilizana sanaZambia imepakana wap na msumbiji ..????acha chenga [emoji3]
Sorry ndg kuna baadhi wanaongea Kireno bila shaka watakuwa na asili ya Msumbiji. Wazambia na watu wa Msumbiji South Africa ni wengi sana na ukiangalia kwa karibu wanasikilizana sana
Poa mkuuWale weng wanatoka beira port wanaleta cargo Zambia na Lubumbashi..!!!!!
Dah.... maharage ya wapi?[emoji13] [emoji13] hayaZambia imepakana wap na msumbiji ..????acha chenga [emoji3]
Kwa sasa tz ndio sehemu nzuri mara dufu kuwekeza kuliko nchi nyingi sana jirani.
Tatizo wengi tunaangalia changamoto badala ya fursa na tunaangalia sasa badala ya baadaye.
Kama huwezi kutoka hapa hata zambia hutoboi,jitathmini na ujibadilishe kwanza.
Bwino mwapole bha mwaicheKWASHSA...labda ulitaka kusema KWACHA!!! MLISHANI BHA MDALA?
Bwino mwapole bha mwaiche
Nachilabha ichimbhemba, nafumile kale mu zambia
Bwino, mwabhombeni?Mulishani