SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Nenda msumbuji Beira mzunguko nao Mkubwa tu saizi kuna bandari yao iko bize sana matruck kibao yanapeleka na kuchukua cargo toka Congo,Malawi,Zambia nk ila usije na mtaji wote njoo na kidogo ili ujifunze biashara au nn cha kufanya,Zambia na Malawi pia safi hasa kama wwe ni fund hawana mafundi wazuri Kwa fani mbalimbali utegemea toka tza
Pouwa!