Una uhakika kila kitu kilikuwa sawa waume zao walivyofariki!?
Kama wanawake wa zamani walikuwa hawasomi, kazi yao ni kuolewa na kuzaa watoto na ndoa zilikuwa zinadumu sana... na wanawake wa kisasa ambao wanaruhusiwa kusoma sana na kubeba nyadhifa mbalimbali, kitu kilichopelekea ndoa nyingi kuwa na misukosuko; tafsiri ya kawaida ni kwamba wanawake wa zamani walikuwa wanaishi ndoani wakiwa na maumivu makubwa mioyoni.. kwa vile hawakuwa na options za kujisimamia then they had no choice ya kujing'atua ndoani.
Binafsi siamini ktk kung'ang'aniana ndoani.. muda ukififika if you feel you no longer have attachment to your bussiness partner (wife or husband), ni vema kila mtu akachukua hamsini zake.