Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Zamani wanawake wengi hawakufanya kazi waliolewa na kuishi nyumbani tu,,wanaume wengi hawakupenda wake zao wafanye kazi bali waishi tu na kuzaa watoto pamoja na kuwalea,wanaume walifanya kazi na kulea familia na ndoa zilidumu tu
Wanawake sasa wanasisitizwa kusoma na wafanye kazi sasa watoto wa kike wanajituma sana kwenye kazi,wanasoma sana ,lakin ndoani ni vuruvuru mara mke kachoka mara kiburi,tafrani tu ,
Pia sasa wanawake wanafanya kazi ili kulea familia zao mfano mme anaweza fariki mwanamke kama ana kazi au kipato ataendelea vyema kulea wanae,
Najiuliza zamani wanawake hawakufanya kazi na kila kitu kilikuwa sawa waume zao walivyofariki waliwezaje kujimudu na kulea watoto maana wazazi wengi zamani hawakufanya kazi wachache sana, najiuliza maisha ya zamani yalikuwaje ?waliwezaje ?
Mama G