Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,609
- 2,738
Pamoja Kamanda[emoji121]
MKUU,
HII HOJA NI YA KIMATAIFA !!!
NAIUNGA MKONO BILA PINGAMIZI !!!
Pamoja Kamanda[emoji121]
MKUU,
HII HOJA NI YA KIMATAIFA !!!
NAIUNGA MKONO BILA PINGAMIZI !!!
Me pia nimewaza hilo wanawake kazi walifanya nakulea walilea pia, tena kazi ngumu nanzito hata leo hii nenda huko vijijini wala halijifichi lipo wazi kabisa.Walifaya...tena kwa ustadi mkubwa pengine kuliko sisi leo,.
Ni kweli kabisa, kama ni kujishughulisha afanye kazi za nyumbani naamini zipo nyingi tu, na pia ndio maana na watoto siku hizi wanakuwa kama machizi kwa sababu wanjilea wenyewe kama watoto wa samaki, sana sana wanamtegemea Housegirl,Ila kiukweli maisha hayo ndo asili ya Mungu anavyotaka, mke akiwa mama wa nyumbani mji unakuwa wa maana, watoto maadili na heshima. Ila angalieni sasa, baba kazi, mama kazi, watoto wanalelewa na house girls au ktk zile child care centre, sasa matoto hayana maadili, mapenzi kuanza umri mdogo, ushoga, yaani ni balaa. Mimi kama mimi mke wangu hatoajiliwa ila atakuwa na biashara ambazo patakuwa na watu wakifanya kazi huko, yeye anaweza kwenda hata saa 5 na akarudi saa 8, na hata asiende kabisa. Lengo ni nyumva iwe nyumba ya heshima sio mimi natoka saa 12 nae saa 12, mi narudi saa 1 nae saa 1 then hicho ni nini. Ili watoto wetu wakue salama kuna ulazima wa kurudi ktk maisha ya zamani. Pia mwanamke kama mwanamke akishapata elimu, akawa na mshahara wake, akapata na ofa kazini kama kupanda cheo, hapo hakuna ndoa tena wala usitegemee kuna ndoa miaka mitano ijayo.
Ha ha ha ha ha ha[emoji121]
HAKUNA KUENDEKEZA USAWA KATI YA "ME" NA "KE",
SIO TU KATIKA UTAFUTAJI,
BALI KATIKA NYANJA ZOTE ZA MAISHA !!!!
NA HAKUNA WA KUBISHA !!!
Watoto wanatakiwa kulelewa na mama kwa karibu kabisa, aone mabadiliko yao ya kitabia aweze kuwasaidia, hawa watoto sasa hivi wanalelewa na TV ni hatari kwa mustakabali wa yajayoNi kweli kabisa, kama ni kujishughulisha afanye kazi za nyumbani naamini zipo nyingi tu, na pia ndio maana na watoto siku hizi wanakuwa kama machizi kwa sababu wanjilea wenyewe kama watoto wa samaki, sana sana wanamtegemea Housegirl,
Mke anatoka asbh eti anenda kazini anarudi saa 3 usiku yaani ata wewe mwanaume unatangulia yeye bado yuko misère, akirudi nyumbani amechoka kama wewe ulivyochoka, huwezi hata kumtuma akuletee maji ya kunywa, mwanamke anakuwa baunsa, mwanamke anaonana kila siku na majitu huko mitaani hata sura inakuwa haina aibu, nakumbuka akina mama zamani walikuwa wanrudi nyumba saa 12 jioni, siku hizi mwanamke anarudi saa 3 usiku halafu ndio anaanza kupika
[emoji121]Hahahahahaha
Ndo wanaume wenzako wanasemaga hivo mkuu
Tujifunze kwa nchi za kiarabu, hata kama wakilalamika[emoji121]
MKUU,
NI WANAUME WA MKOA GANI HAO WANAOTUHARIBIA CV WENZAO??
HEBU NITAJIE KWANZA HAPA !!!
Wanatoka mikoa tofauti tofauti mkuu ..[emoji121]
MKUU,
NI WANAUME WA MKOA GANI HAO WANAOTUHARIBIA CV WENZAO??
HEBU NITAJIE KWANZA HAPA !!!
[emoji121]Tujifunze kwa nchi za kiarabu, hata kama wakilalamika
MKUU,Wanatoka mikoa tofauti tofauti mkuu ..
Yaan kila kona utasikia mwanamke asiyejishughulisha n mzigo.
Kwa kweliWatoto wanatakiwa kulelewa na mama kwa karibu kabisa, aone mabadiliko yao ya kitabia aweze kuwasaidia, hawa watoto sasa hivi wanalelewa na TV ni hatari kwa mustakabali wa yajayo
Mimi nipo iringa ila natokea KilimanjaroMKUU,
WEWE UPO MKOA GANI ?
[emoji121]Mimi nipo iringa ila natokea Kilimanjaro
Kufa ni matokeo alafuangalia furaha yako duniani unaipataje,ukisema watoto wabaki na kitu wewe sio mpangaji hapa duniani, kwani ukifa bila kuacha kitu mungu ana kuhukumu vipi angalia mungu alicho kusudia kwa wana wa Adam.Kama wote mtakuwa mnajishughulisha kubali kataa lazima heshima haitakuwepo ndo ile ya kitokugawana majukumu na mke wako for the sake of your respect!...halafu ndoa hazivunjiki kwa sababu tu ya mwanamke hata mwanaume anachangia..kwa kifupi kila upande una matatizo
Ila kujishughulisha n muhimu kukakaa tu nyumban n hatar hatujui nani ataanza kutangulia mbele za haki...kila mtu apambane ili familia iendelee kusimama hata kama wote mtakufa watoto watabak na kitu.
Uelewa wa watu wa sasa ni mdogo,vijana mnapuuzia maandiko ya mungu.Siyo kukariri..wanaume wanaponda sana wanawake wasiojishughulisha..na wengi wanasema siwez oa goal keeper n.k
Mke atunze Mali za mumewe.Kwan Mungu alipangaje mkuu?
Tatizo sio kufanya kazi ila kuchanganyika wanawake na wanaume wasiokua waume zao ni kosa,ndio system iliyo kuwa sasa hivi kwenye kazi,imefikia hatua wanawake hawana hata haya kuchangamana na wanaume.Me pia nimewaza hilo wanawake kazi walifanya nakulea walilea pia, tena kazi ngumu nanzito hata leo hii nenda huko vijijini wala halijifichi lipo wazi kabisa.
Wewe imani yako ni ipi?crsty or Muslim.Tuambie Mungu kapangaje navingapi alivyovipanga tunavitimiza?
Wee mwanamke ni jeuri sana.Una uhakika kila kitu kilikuwa sawa waume zao walivyofariki!?
Kama wanawake wa zamani walikuwa hawasomi, kazi yao ni kuolewa na kuzaa watoto na ndoa zilikuwa zinadumu sana... na wanawake wa kisasa ambao wanaruhusiwa kusoma sana na kubeba nyadhifa mbalimbali, kitu kilichopelekea ndoa nyingi kuwa na misukosuko; tafsiri ya kawaida ni kwamba wanawake wa zamani walikuwa wanaishi ndoani wakiwa na maumivu makubwa mioyoni.. kwa vile hawakuwa na options za kujisimamia then they had no choice ya kujing'atua ndoani.
Binafsi siamini ktk kung'ang'aniana ndoani.. muda ukififika if you feel you no longer have attachment to your bussiness partner (wife or husband), ni vema kila mtu akachukua hamsini zake.