Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,026
Siyo dar tu mkuu ..hata sehemu nyinginesawa iyo itakua dar lakini, maana uku ni mwendo wa kulima Coral Show na kuwauzia 'wanajeshi' tukirudi , tunaandaliwa 'msosi' , 'kubarizi' na 'kulala'
Siyo dar tu mkuu ..hata sehemu nyinginesawa iyo itakua dar lakini, maana uku ni mwendo wa kulima Coral Show na kuwauzia 'wanajeshi' tukirudi , tunaandaliwa 'msosi' , 'kubarizi' na 'kulala'
Usiishie kusema changamoto pekee, ni maradhi kama Ukimwi ni ya kufikia Mkuu, Wanaume tusemezane kwani sis ndio wahanga wa hili, ukimuacha mwanamke eti asome au aende kufanya kazi maana ni kwamba umekubali awe chakula cha wote, dharau na kiburi vinaanza, sijui kama kuna mwanamke mwenye kazi yake na akawa na heshima kwa mumeweTatizo kwa sasa wengi wanataka kuajiriwa,huko nyuma walikuwa wanajiajiri wao wenyewe ufugaji,kilimo n.k na maisha pamoja na nidhamu ilikuwa poa.Kwa sasa, huko wanapoajiriwa wanaambulia kutembea na maboss ili posho zipatikane na kuleta changamoto katika familia.
Si ndo mnasemaga mnapenda mwanamke mchakarikaji?mke aitakiwi afanye kazi nje na nyumbani,sikuizi watu mnaupungufu wa kufikiri.
kwa uku Lindi apana , labda uko DarSiyo dar tu mkuu ..hata sehemu nyingine
Sio wanaume wote wanaotaka hivyo,binafsi sitaki mwanamke anaye fanya kazi nje na nyumbani, mwanamke anatakiwa awe na haya sasa kujichanganya na wanaume aipendezi, siku izi maadili hamna.Bas wewe utakuwa mwanaume wa tofaut Sana... Sahiv hakuna mwanaume anayeoa home mother... Wote wanataka mwanaume na mwanamke mpambane kuinua uchumi wa familia
Kuna mwanaume mwenzenu aliwahi kusema mkitaka wake zenu wawaheshimu basi msigawane nao majukumu maana kama ada ya watoto mnalipa wote, ,, nyumba mmejenga wote,,,,bill za maji na umeme mnalipa wote....yeye anafanya kaz na ww unafanya kazi mshahara mnaleta mezan usitegemee atakuheshim maana anaona hamna aliyemzidi mwenzakeUsiishie
Usiishie kusema changamoto pekee, ni maradhi kama Ukimwi ni ya kufikia Mkuu, Wanaume tusemezane kwani sis ndio wahanga wa hili, ukimuacha mwanamke eti asome au aende kufanya kazi maana ni kwamba umekubali awe chakula cha wote, dharau na kiburi vinaanza, sijui kama kuna mwanamke mwenye kazi yake na akawa na heshima kwa mumewe
Ndio maana kizazi cha sasa mnakiharibu,mfikirie kwa kweli.Si ndo mnasemaga mnapenda mwanamke mchakarikaji?
Uko sahihi mkuuUsiishie
Usiishie kusema changamoto pekee, ni maradhi kama Ukimwi ni ya kufikia Mkuu, Wanaume tusemezane kwani sis ndio wahanga wa hili, ukimuacha mwanamke eti asome au aende kufanya kazi maana ni kwamba umekubali awe chakula cha wote, dharau na kiburi vinaanza, sijui kama kuna mwanamke mwenye kazi yake na akawa na heshima kwa mumewe
Point👍Kuna mwanaume mwenzenu aliwahi kusema mkitaka wake zenu wawaheshimu basi msigawane nao majukumu maana kama ada ya watoto mnalipa wote, ,, nyumba mmejenga wote,,,,bill za maji na umeme mnalipa wote....yeye anafanya kaz na ww unafanya kazi mshahara mnaleta mezan usitegemee atakuheshim maana anaona hamna aliyemzidi mwenzake
Akili vichwani mwenu!
Sahiv mwanamke asiyejishughulisha hata kuolewa inakuwa ngumu mkuuNdio maana kizazi cha sasa mnakiharibu,mfikirie kwa kweli.
Mungu ndio apangaye mtegemee mungu,usikariri kwa watu.Sahiv mwanamke asiyejishughulisha hata kuolewa inakuwa ngumu mkuu
Tatizo mnamkosoa mungu,mungu hakupanga ivo ndio maana migogoro aiishi.Zamani maisha yalikuwa sio yajuu sana nahata kama yalikuwepo basi waliowengi hawakuyatamani, ila sasa maisha yamebadilika sana kila mtu anapenda apate vitu vizuri kama vile aishi nyumba nzuri, asomeshe watoto Shule nzuri na watoto wale nakuvaa vizuri hivyo vyote vimesababisha binadamu tumekuwa wabinafsi wakutoa misaada kwakuhofia kesho yetu tunahisi tukitoa misaada tutaishiwa. Turudi kwenye mada, kwasasa mwanamke kama huna kazi au shuhuri yakukuingizia kipato utapata tabu sana endapo mume wako akifilisika au akidanchi maana utopata msaada popote pale si kwandugu wala kwawatu watu baki hao nao watakuwa namajukumu yakujenga familia zao, nawala utopata mume wakukuoa wewe na watoto wako labda kama utawakana watoto wako. Kimbilio nikujishuurisha baba namama ili muwe nauchumi imara hata endapo mmoja akitangulia mbele yahaki basi familia isiyumbe sana nakwakuliona hilo wanaume tulio wengi tunataka wanawake wenye kujishuurisha ila sasa wanawake hao hao walio wengi wenye kujishuurisha nijeuri sana kisa tu wote mnatoka asubuhi nakurudi jioni kwahiyo ndoa kudumu inakuwa ngumu sana. Badilikeni wanawake jamani ili ndoa zidumu kama zawazee wetu.
Jamani wanawake wana ushirikiano sana kutufanya mazombie, Nasi Tushirikiane kujiepusha na dhahama hizi, mnapoona issue muhimu mnaleta hapa tuna share ili tuongeze siku za kuishi.Kuna mwanaume mwenzenu aliwahi kusema mkitaka wake zenu wawaheshimu basi msigawane nao majukumu maana kama ada ya watoto mnalipa wote, ,, nyumba mmejenga wote,,,,bill za maji na umeme mnalipa wote....yeye anafanya kaz na ww unafanya kazi mshahara mnaleta mezan usitegemee atakuheshim maana anaona hamna aliyemzidi mwenzake
Akili vichwani mwenu!
Kumbe huwa tunawafanya mazombie mkuuJamani wanawake wana ushirikiano sana kutufanya mazombie, Nasi Tushirikiane kujiepusha na dhahama hizi, mnapoona issue muhimu mnaleta hapa tuna share ili tuongeze siku za kuishi.
Hakuna mfano mwaka 70 niliweza kukoga, maji ya mto msimbazi, na kunywa, leo ni mavi matupu, na nchi hii Ni chini ya miaka 25 kwa asilimia 90, pamoja na wewe ambao ndiyo wanyaji wa mavi hayoZamani wanawake wengi hawakufanya kazi waliolewa na kuishi nyumbani tu,,wanaume wengi hawakupenda wake zao wafanye kazi bali waishi tu na kuzaa watoto pamoja na kuwalea,wanaume walifanya kazi na kulea familia na ndoa zilidumu tu
Wanawake sasa wanasisitizwa kusoma na wafanye kazi sasa watoto wa kike wanajituma sana kwenye kazi,wanasoma sana ,lakin ndoani ni vuruvuru mara mke kachoka mara kiburi,tafrani tu ,
Pia sasa wanawake wanafanya kazi ili kulea familia zao mfano mme anaweza fariki mwanamke kama ana kazi au kipato ataendelea vyema kulea wanae,
Najiuliza zamani wanawake hawakufanya kazi na kila kitu kilikuwa sawa waume zao walivyofariki waliwezaje kujimudu na kulea watoto maana wazazi wengi zamani hawakufanya kazi wachache sana, najiuliza maisha ya zamani yalikuwaje ?waliwezaje ?
Mama G
Kama wote mtakuwa mnajishughulisha kubali kataa lazima heshima haitakuwepo ndo ile ya kitokugawana majukumu na mke wako for the sake of your respect!...halafu ndoa hazivunjiki kwa sababu tu ya mwanamke hata mwanaume anachangia..kwa kifupi kila upande una matatizoTatizo mnamkosoa mungu,mungu hakupanga ivo ndio maana migogoro aiishi.
Tuambie Mungu kapangaje navingapi alivyovipanga tunavitimiza?Tatizo mnamkosoa mungu,mungu hakupanga ivo ndio maana migogoro aiishi.
Siyo kukariri..wanaume wanaponda sana wanawake wasiojishughulisha..na wengi wanasema siwez oa goal keeper n.kMungu ndio apangaye mtegemee mungu,usikariri kwa watu.