Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,026
Kwan Mungu alipangaje mkuu?Tatizo mnamkosoa mungu,mungu hakupanga ivo ndio maana migogoro aiishi.
Kwan Mungu alipangaje mkuu?Tatizo mnamkosoa mungu,mungu hakupanga ivo ndio maana migogoro aiishi.
Siyo kukariri..wanaume wanaponda sana wanawake wasiojishughulisha..na wengi wanasema siwez oa goal keeper n.k
Nipe hiyo like.Dah sijui nikupe zawadi gani maana sijatoa like humu nasubiri kumpa mtu special hiyo like.
Na jana wewe ndiye umenipa like ya kwanza.
Sawa sitampa mtu mwingine tena.Nipe hiyo like.
Ndio namimi nashangaa kwani zamani wanawake walikuwa hawafanyi kazi?Wanawake wa zamani pamoja na kutokufanya kazi za(kuajiriwa),kutokuwa na elimu ya darasani kubwa,wengi wa wanawake hawa walikuwa na UJUZI na maarifa ya ujuzi huo, ndio maana waliweza "kusavaiv" hata pale walipoondokewa na waume zao,.tofauti na sasa wengi tuna elimu za kukariri (darasani)lakini hatuna ujuzi na maarifa yoyote ndio maana malalamiko hayaishi na ajabu walalamishi ni hao wanaoitwa wasomi wa degree,masters etc...japo sababu ziko nyingi kutokana na mabadiliko ya kimazingira,teknolojia,kisiasa,tamaduni na nyinginezo nyingi...
Siku hizi tunategemea elimu tuu,bila kujitafutia hata ujuzi wa kitu flan,tumekuwa wavivu wa kufikiri na hata kutenda..
[emoji121]mke aitakiwi afanye kazi nje na nyumbani,sikuizi watu mnaupungufu wa kufikiri.
[emoji121]sawa iyo itakua dar lakini, maana uku ni mwendo wa kulima Coral Show na kuwauzia 'wanajeshi' tukirudi , tunaandaliwa 'msosi' , 'kubarizi' na 'kulala'
[emoji121]Usiishie
Usiishie kusema changamoto pekee, ni maradhi kama Ukimwi ni ya kufikia Mkuu, Wanaume tusemezane kwani sis ndio wahanga wa hili, ukimuacha mwanamke eti asome au aende kufanya kazi maana ni kwamba umekubali awe chakula cha wote, dharau na kiburi vinaanza, sijui kama kuna mwanamke mwenye kazi yake na akawa na heshima kwa mumewe
"MWANAMKE MCHAKARIKAJI" ND'O MNYAMA GANI ?!?!Si ndo mnasemaga mnapenda mwanamke mchakarikaji?
[emoji121]kwa uku Lindi apana , labda uko Dar
Hahahahahaha"MWANAMKE MCHAKARIKAJI" ND'O MNYAMA GANI ?!?!
HAKUNA KUCHAKARIKA HAPA-
AKITAKA KUCHAKARIKA ACHAKARIKIE NYUMBANI AU KWENYE MIRADI YA FAMILIA !!!!
SHEZI SANA !!!
[emoji121]Sio wanaume wote wanaotaka hivyo,binafsi sitaki mwanamke anaye fanya kazi nje na nyumbani, mwanamke anatakiwa awe na haya sasa kujichanganya na wanaume aipendezi, siku izi maadili hamna.
[emoji121]Kuna mwanaume mwenzenu aliwahi kusema mkitaka wake zenu wawaheshimu basi msigawane nao majukumu maana kama ada ya watoto mnalipa wote, ,, nyumba mmejenga wote,,,,bill za maji na umeme mnalipa wote....yeye anafanya kaz na ww unafanya kazi mshahara mnaleta mezan usitegemee atakuheshim maana anaona hamna aliyemzidi mwenzake
Akili vichwani mwenu!
Havana banana hahaSawa sitampa mtu mwingine tena.
Walifaya...tena kwa ustadi mkubwa pengine kuliko sisi leo,.Ndio namimi nashangaa kwani zamani wanawake walikuwa hawafanyi kazi?
[emoji121]Ukitaka maisha ya uhusiano yawe magumu,endekeza usawa katika utafutaji
HahahahahahahahaSawa sitampa mtu mwingine tena.