Kwetu_masite
New Member
- May 10, 2025
- 4
- 4
Wadau nawasalimu
Ndugu zangu mimi nalitumikia taifa kwa kuwahudumia watanzania wenzangu kwenye moja ya kada yenye kugusa maisha ya kila mtu. Kwenye hili jukwaa siyo mgeni sana
Nimepata transfer ya kwenda ktk wilaya ya Same Kilimanjaro. Kwa nature ya kazi yangu eneo la kufanyia kazi itakuwa Same mjini Ninachohitaji kwenu ndugu ni mnipe angalau machache kuhusu hilo eneo kuhusu
1. Upatikanaji wa huduma za kijamii sana sana upatikanaji wa nyumba za kupanga, huduma za chakula na maji
2. Hali ya biashara kiujumla kwa maana ya hali ya mzunguko wa fedha angalau nipate ufahamu kidogo kwa kuwa biashara zinatofautiana
3. Usafiri wa kutoka eneo moja kwenda jingine ndani ya mji huo kama sina usafiri binafsi. Chombo cha usafiri ninacho nataka kukiacha kwa muda huku nilipo.
4. Mahusiano ya wazawa na watu wa kuja yakoje kwenye kushirikiana kijamii zaidi na kibiashara. Nilikaa moja ya wilaya mikoa ya kanda ya ziwa nilihisi kama nipo nyumbani kabisa nyanda za juu.
Mengine nitayaelewa baada ya kufika lakini ukinigusia hata kwa PM nitashukuru