Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,289
- 28,445
Kwahiyo avae urewedi, salamu iliyonona.Ni Salamu tu Bana...!
Ukifika Same unaingia kulia barabara ya lami inayopanda milimani, huko ziko shule na hali ya hewa nzuri sana.
Kwahiyo avae urewedi, salamu iliyonona.Ni Salamu tu Bana...!
Asante sana nduguKama hujaoa Ukimkuta Mtoto wa kipare Same oa. Utanishukuru baadae, Vumbi na baridi kali kawaida.
Usiwaze kuhusu kufika dar Gari zote kutoka Nairobi Moshi Arusha zinapita hapo same town..
Mzunguko wa watu ni mdogo wilaya ni ndogo imepooza.. Watu wengi wanaingia na kutoka. Kapige kazi hapo upo mjini sana wikiend utaamua uende Mombasa au Arusha..
Asante sanaKaribu same mkuu naweza kukujibu kama ifuatavyo japo mimi nipo same juu hapa machungwani.
1.. Vyumba vipo vya kutosha kwa hapa mjini vinaanzia 25k mpaka 100k hiko cha 50k inamaana ni self kabisa mkuu unakuta kuna maji umeme na nk kabisa..
Chakula kawaida tu hakuna bei ngumu sana
2... Hapa kwetu kazi na biashara Ndio kitovu. Kwa vijana japo eneo la usafirishaji tupo vzr zaidi kuna baskeli ambazo zinaitwa daladala pia kuna boda boda chache sana..
Biashara nyungine nj ya hardware kutokana na mji kuanza kukua kwa kasi ya ajbu..
Pia nguo za mitumba pamoja na biashara ya wadada wa kazi za ndani
3...usafiri mkubwa ni daladala yaani baskeri ila kama una usafir wako binafsi mashalllah huku barabara zipo safi kabisa kwa mjini all the place zime be connected na rami
4..Social interaction inategemea weww umekuja vipi.
Hapa tunapenda sana wageni hasa ukija kwa lengo moja tu la kuishi na sisi vzri..
Usije na tabia za kiswahili. Hivo tu hakuna ubaguzi hakuna mambo ya ushirikina.
Ukishi na wazawa vzri wallah utainjoi sana
Karibu same mkuu...
Nipo michungwani juu hapa jina maarufu ni msofe
Hapana na sijawahi kuiona inafananajeUnatafuna Mirungi?