Fiction is the lie through which we tell the truth!Ni hatari kuu kwa baba na mtoto...
Ni Asia ni moja ya bara ambalo watu wake ni maskini wa kutupwa.. japo zipo nchi zenye hadhi ya dunia ya kwanza.hawa si wanasifa ya kuitoa nishai marekani!
Ni Asia ni moja ya bara ambalo watu wake ni maskini wa kutupwa.. japo zipo nchi zenye hadhi ya dunia ya kwanza.
Uongo upi hapo we mpuuzi.Veitnam hawana umasikini wa kutisha acha Uongo wewe unaijua Veitnam wewe? Wanatuzidi mbali mno. Swala la kuvushwa hata China kuna Majimbo yao au wilaya zso huko vijijini watu huvushwa kwa staili hiyo
Uongo upi hapo we mpuuzi.
Asia hakuna nchi maskini au hakuna nchi za first world ?
Wew unaonaje ?Kwani south amerika na north amerika hakuna nchi masikini?
Rate ya umaskini America ya Kaskazini unaweza fananisha na Africa ?Kawaida mbona. Tena bara la amerika ya kusini/kaskazini ndio masikini wa kutupwa mfano Jamaica, Haiti n.k