Maisha ya Waviettinam; Mungu awasaidie...

Maisha ya Waviettinam; Mungu awasaidie...

Veitnam hawana umasikini wa kutisha acha Uongo wewe unaijua Veitnam wewe? Wanatuzidi mbali mno. Swala la kuvushwa hata China kuna Majimbo yao au wilaya zso huko vijijini watu huvushwa kwa staili hiyo
Kumbe Asia huko ni kawaida...
 
Hopeless!Kwa nini asimvue nguo kisha akaziweka kwenye mfuko mtoto akaenda kumvalishia ng 'ambo ya pili ya mto.
 
Back
Top Bottom