Maisha ya wanafunzi waliomaliza Algeria.

Status
Not open for further replies.

brym

Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
40
Reaction score
5
Wakuu nina ndugu yangu kapata hizo scholarship toka wizarani kwenda nchini Algeria. Nilikuwa natafuta necessary information kwa ajili yake kama zinalipa katika soko la ajira Tanzania anasomea mambo ya Computer. Mwenye habari anaweza kunijuza kama ni sahihi kwake au kubaki Udsm Computer Engineering and IT.

Ahsante
 
Mbakishe ud maan hko chuo cha Algeria c chocht c loot labd km anatak kwnd kutalii saw
 
Nina pia kaka yangu alisoma huko Algeria ila baada ya hapo hana ajira mpaka leo..hadi anawaza kuanza degree tz
 
amepataje mara mbili? Mi nadhan ata hizo scholarship zimeombwa kupitia tcu.
 
TZ yetu ni ile ile, kuna coz angesema ajira lazima, kama MD pharmacy, ila zile za changamoto ata ukisoma russia-social works huenda ukabaki nyumban tu labda ye alisomea nini?
 
Kwa kweli aliwah kuniambia alisomea nini...ila kutokana na nilikuwa mdogo sikutilia maanan .ila form sx alisoma pcm..
Ila ngoja nitamuiliza tena huko ughaibun alisomea nn...
 
amepataje mara mbili? Mi nadhan ata hizo scholarship zimeombwa kupitia tcu.

Alifanya vizuri...aliApply udsm first choice naf hzo scholarship za Algeria second choice and hizo scholarship waliitwa hata kabla ya matokeo ya Udsm kutoka
 
Nina pia kaka yangu alisoma huko Algeria ila baada ya hapo hana ajira mpaka leo..hadi anawaza kuanza degree tz

Kusoma nje sio guarantee ya kupata kazi hapa nchini labda usome Havard, Yale na wengineo.. ila vyuo vya community kupata kazi kazi sana
 
Ni kweli..
 
Kweli kabisa aisee
 
Lugha sio kweli tatizo coz kule watajifunza Kifaransa mwaka mmoja naf ndo wataanza masomo yao kwa lugha ya Kifaransa
 
Kweli kabisa aisee

Mi nadhani ni wakati wa wazazi, walezi, sponsors na wanafunzi kuangalia nje ya upeo wao.. sioni sababu ya kumsomesha mtu kwa mamilioni nje ya nchi afu akose kazi hapa nchini, bora umsomeshe hapa Tanzania na hizo hela zingine afanye biashara nina hakika atabenefit mara 100 maana hela itakuwa yazunguka na bado anapata elimu....

TATIZO KUBWA HAPA NCHINI KWETU NI UJIKO MWINGI NA MAJIVUNO MTU ANAWEZA ENDA MALAYSIA TU AKIRUDI TAMBO NYINGI SANA
 
Sasa issue ni kwamba wanapata scolaship wanaona wasichezee bahati
 
scholarship sio kitu kibaya jaman, serikali inatumia ela nyingi kusomesha nje sio rahis wakutupe, kikubwa ni unachosomea tu, haijalish umesoma kwa kifaransa au kireno, kama ajira ipo wizara husika utapata tu.
 
DAAH..MMENIKATISHA TAMAA SANA NDUGU,,MIMI PIA NIMECHAGULIWA ALGERIA Maths & comp eng.NA NDO NIPO KWENYE HARAKATI ZA KUJIANDAA KWENDA...BUT NIMECHAGULIWA PIA UDISM CIVIL ENG,,SO NAOMBENI MWENYE UHAKIKA NA HII ISSUE ANSAIDIE KUFANYA MAAMUZI MAZURI KWA SABAB KILA MTU ANAZUNGUMZA LA WAKE KUHUSU HILI..
ASANTENI.
:redfaces:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom