Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
- Thread starter
- #21
WATANZANIA NCHINI BRAZIL
KATA K mpaka kwenye Futari! Kudadadeeeki!WATANZANIA NCHINI BRAZIL
![]()
![]()
![]()
Kazi kwako utafumbuwa fumbo mwenyewe....................Watz wanafata/kupeleka nini Brazil? Fumbo mfumbie mjinga ..
Wamejazana kwenye jela za huko, umesahau wanapelekaga vitu gani huko?Mbona sijaona picha wa Mbongo kutoka pande za kwetu?
Kweli Mkuu nilikua nimesahau! Kumbe vile vitu Vyakula vya NYOKA!Wamejazana kwenye jela za huko, umesahau wanapelekaga vitu gani huko?
Nifumbue mara ngapi al'ustaadh Mzizimkavu? ile dawa ya kupunguza dushe mbona bado kunijuza?Kazi kwako utafumbuwa fumbo mwenyewe....................
Unahitaji kwani wewe?Nifumbue mara ngapi al'ustaadh Mzizimkavu? ile dawa ya kupunguza dushe mbona bado kunijuza?
Watz wanafata/kupeleka nini Brazil? Fumbo mfumbie mjinga ..
ndomanakeUnahitaji kwani wewe?
Wewe huishi vituko Dawa ya kupunguza Dushelele Fanya hivi: Tafuta Myegea utwange nakisha uchemshe uwe wa Uvuguvugu na uwe unanawia hii itatapunguza ukubwa wa dushelele lako insha allah Tumia uje unipe Feedback Abdulhalimndomanake
Myegea ni mmea au nini shehe?Wewe huishi vituko Dawa ya kupunguza Dushelele Fanya hivi: Tafuta Myegea utwange nakisha uchemshe uwe wa Uvuguvugu na uwe unanawia hii itatapunguza ukubwa wa dushelele lako insha allah Tumia uje unipe Feedback Abdulhalim