Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Mbona sijaona picha wa Mbongo kutoka pande za kwetu?
Watu wa East Africa mbona hatufunguki? Au tumeridhika....maana West Afica kila sehemu wanafunguka..kuanzia China, Marekani hadi Urusi..au sie waoga
[h=1]WATANZANIA NCHINI BRAZIL[/h]sijaona watu wa tz hapo au hawapo?