Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,906
Ng'ombe hazeeki mainiInashangaza sana mpaka uzeeni mtu anawaza vidudu vya wajukuu zake😂😂
Ng'ombe hazeeki mainiInashangaza sana mpaka uzeeni mtu anawaza vidudu vya wajukuu zake😂😂
Mkuu shikamoooNina miaka 77 nakwenda 78 Desemba hii na ngoja nikwambie kitu kijana.
Pesa ndiyo ni muhimu sana huku uzeeni lakini cha muhimu zaidi ni afya yako. Ukizubaa ukajiachia mpaka ukajisababishia presha, kisukari, matatizo ya moyo, ini, figo; na mengineyo; kila kitu kinakuwa kimeparaganyika na hizo hela hutazifaidi. Kwanza hata mtambo wako wa nyuklia utakuwa haufanyi kazi!. Hata kula yako yenyewe itakuwa ni shida tupu!
Kijana Linda sana afya yako. Kama ni lazima unywe pombe basi kunywa kwa wastani (tunaambiwa na wataalamu kuwa usizidishe bia mbili kwa siku). Acha sigara maana hazina faida yo yote mwilini mwako. Punguza sukari na matumizi ya caffeine (kunywa kahawa na energy drinks kwa kiasi kidogo sana); na angalia sana mlo wako. Fanya vimazoezi karibu kila siku na kamwe usikubali ukanenepeana kama mbuzi wa Vatican (nguruwe).
Kama miaka ingekuwa inarudishwa nyuma kwa hakika ningejitahidi sana kulinda afya yangu maana kuna mambo niliyafanya huko ujanani (hasa pombe, nyama choma sana, ulaji wa hovyo kwa ujumla ..) na mpaka leo nalipia gharama zake japo sina presha, kisukari wala matatizo mengine ya kawaida kwa wazee (Mungu ni mwema!).
Kwa hiyo kijana tafuta pesa. Kula bata lakini kwa tahadhari na priority namba wani kwako iwe ni kulinda sana afya yako maana mambo unayoufanyia mwili wako kwa sasa madhara yake utaanza kuyaona miaka 15+ huko mbele ya safari; na inaweza kuwa ni too late ukajikuta umeshaharibu kila kitu.
➡️➡️➡️ NB: Hata hizi shida zenu za nguvu za kiume vijana wadogo miaka 35 mnafakamia mivayagra kuna mambo ukiyazingatia, hata huku uzeeni utakuwa sawa tu na wala hutahitaji haya madawa yenu. Ndiyo maana mpaka miaka ya 70, 80 na 90 hapa ilikuwa kawaida tu kukuta mzee wa miaka 78 bado anaendelea kuoa vibinti vibichi; na anavizalisha! Wewe hakikisha tu cardiovascular system yako iko sawa na mengine yote ni marahisi. Ongeeni na wazee mjifunze 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🖐
Kabisa. MkuuHauutaki uzee!
Nadhani una tatizo la kisaikolojia linalohitaji wataalamu kukusaidia.
Ujana unaweza kukudanganya na ukajisahau sana kumbe?
Lakini nikuhakikishie, miaka ishiri ama thelathini iloyoko mbele yako ya kuuanza uzee ni michache sana ni kama dakika thelathini kwenye mzunguko wa saa.
Kama Mungu hajakuua na kubaki hai na afya njema, kuuingia uzee ni kufumba na kufumbua tu.
Kama akili zako umezielekeza kwenye ukiruka njia wa kutongoza wasichana, kweli waweza ukateseka, lakini ni mateso ya kujitakia ya kusaikolojia kwa sababu wasichana warembo ni kama matoleo ya magazeti, ukiishalisoma asiyelisoma atatamani alisome na akishalikulisoma hatalihitaji aendelee nalo, hulitupa pembeni.
'Shikamoo zao' ni kelele za chura zisizoweza kuzuia tembo kunywa maji, nadhani umenielewa.
Nihitimishe kwa kusema usijivunie chochote ambacho binadamu unamiliki sasa hivi: ujana, afya, michongo ya pesa na mali na kupelekea kuwaona wasivyonavyo ni mafala, hapana ni mfumo.
Mshukuru tu Mungu wako kwa kukuwezesha uwe hivyo ulivyo leo, lakini mipango ya kesho yako pamoja na mabadiliko ya chochote kizuri unachokimiliki kuwa virse versi chaweza kukutokea wakati wowote ukae ukijua hilo.
Waache na shishaAcha sigara maana hazina faida yo yote mwilini mwako
Utamu hausahaulikiInashangaza sana mpaka uzeeni mtu anawaza vidudu vya wajukuu zake[emoji23][emoji23]
Sawa kizee cha hovyoUtamu hausahauliki
Marahaba aisee. Kwema huko?Mkuu shikamooo
Huu ni ukwel kabisa, pia ngono za ovyo ovyo,za kubadili wanawake/ wanaume waachane nazo kabisa,naongezea .Nina miaka 77 nakwenda 78 Desemba hii na ngoja nikwambie kitu kijana.
Pesa ndiyo ni muhimu sana huku uzeeni lakini cha muhimu zaidi ni afya yako. Ukizubaa ukajiachia mpaka ukajisababishia presha, kisukari, matatizo ya moyo, ini, figo; na mengineyo; kila kitu kinakuwa kimeparaganyika na hizo hela hutazifaidi. Kwanza hata mtambo wako wa nyuklia utakuwa haufanyi kazi!. Hata kula yako yenyewe itakuwa ni shida tupu!
Kijana Linda sana afya yako. Kama ni lazima unywe pombe basi kunywa kwa wastani (tunaambiwa na wataalamu kuwa usizidishe bia mbili kwa siku). Acha sigara maana hazina faida yo yote mwilini mwako. Punguza sukari na matumizi ya caffeine (kunywa kahawa na energy drinks kwa kiasi kidogo sana); na angalia sana mlo wako. Fanya vimazoezi karibu kila siku na kamwe usikubali ukanenepeana kama mbuzi wa Vatican (nguruwe).
Kama miaka ingekuwa inarudishwa nyuma kwa hakika ningejitahidi sana kulinda afya yangu maana kuna mambo niliyafanya huko ujanani (hasa pombe, nyama choma sana, ulaji wa hovyo kwa ujumla ..) na mpaka leo nalipia gharama zake japo sina presha, kisukari wala matatizo mengine ya kawaida kwa wazee (Mungu ni mwema!).
Kwa hiyo kijana tafuta pesa. Kula bata lakini kwa tahadhari na priority namba wani kwako iwe ni kulinda sana afya yako maana mambo unayoufanyia mwili wako kwa sasa madhara yake utaanza kuyaona miaka 15+ huko mbele ya safari; na inaweza kuwa ni too late ukajikuta umeshaharibu kila kitu.
➡️➡️➡️ NB: Hata hizi shida zenu za nguvu za kiume vijana wadogo miaka 35 mnafakamia mivayagra kuna mambo ukiyazingatia, hata huku uzeeni utakuwa sawa tu na wala hutahitaji haya madawa yenu. Ndiyo maana mpaka miaka ya 70, 80 na 90 hapa ilikuwa kawaida tu kukuta mzee wa miaka 78 bado anaendelea kuoa vibinti vibichi; na anavizalisha! Wewe hakikisha tu cardiovascular system yako iko sawa na mengine yote ni marahisi. Ongeeni na wazee mjifunze 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🖐
Hahaaaaa naona umempiga jamaa za uso mkuu.Me nikajua unazungumia changamoto za kiafya mfano kansa na magonjwa ya figo kumbe tamaa za wasichana hii ni takataka kabisa
Na kwa nini usimamishe mjeledi wakati umezeeka na huna mahela?Unatakiwa ukaishi porini na ngedere tu.No way!Unafikia umri umemtamani mtoto wa kike mrembo 18+ kumwita tu anakusalimia shkamoo babu au shkamoo baba.
Ujue bora akusalimie tu shkamoo
Hapo ujue bado upo
Ila akimalizia tu .
Una hali mbaya. Sitaki uzee aisee ngoja nitafute hela
Tatizo hujui kuwa k ya under 25 na over 35 zilivyo. Bi mkubwa akiwa 50+ baada ya menopause ni majanga katika utelezi!Me nikajua unazungumia changamoto za kiafya mfano kansa na magonjwa ya figo kumbe tamaa za wasichana hii ni takataka kabisa
KatupigaeMiaka 77 kwenda 78 na unajua kusema na kuandika Bata,hii ni chai nzito.
UkweliTatizo hujui kuwa k ya under 25 na over 35 zilivyo. Bi mkubwa akiwa 50+ baada ya menopause ni majanga katika utelezi!
Michepuko ni shock absorber ya ndoa nyingi hasa uzeeni
Umeongea ikweli kabisa! Mimi nafanyakazi (manual) ambazo kijana hawezi! Nilinunua shamba sehemu kwa ajili ya kufuga na kuna sehemu kuna bonde! Nimechimba shims la foot 12 na upana foot 10 kwa ajili ya kupata kifusi lakini pia kujenga kisima cha kuvunia maji ya mvua! Hii kazi nimeifanya mwenyewe (manual work) mdogo mdogo kwa miezi miwili nimetokwa jasho la kutosha na kuuweka mwili wangu fiti. Hizi energy drinks nilikuwa nzinywa lakini kutokana na mzigo wa kazi zilikuwa digested!Nina miaka 77 nakwenda 78 Desemba hii na ngoja nikwambie kitu kijana.
Pesa ndiyo ni muhimu sana huku uzeeni lakini cha muhimu zaidi ni afya yako. Ukizubaa ukajiachia mpaka ukajisababishia presha, kisukari, matatizo ya moyo, ini, figo; na mengineyo; kila kitu kinakuwa kimeparaganyika na hizo hela hutazifaidi. Kwanza hata mtambo wako wa nyuklia utakuwa haufanyi kazi!. Hata kula yako yenyewe itakuwa ni shida tupu!
Kijana Linda sana afya yako. Kama ni lazima unywe pombe basi kunywa kwa wastani (tunaambiwa na wataalamu kuwa usizidishe bia mbili kwa siku). Acha sigara maana hazina faida yo yote mwilini mwako. Punguza sukari na matumizi ya caffeine (kunywa kahawa na energy drinks kwa kiasi kidogo sana); na angalia sana mlo wako. Fanya vimazoezi karibu kila siku na kamwe usikubali ukanenepeana kama mbuzi wa Vatican.
Kama miaka ingekuwa inarudishwa nyuma kwa hakika ningejitahidi sana kulinda afya yangu maana kuna mambo niliyafanya huko ujanani (hasa pombe, nyama choma sana, ulaji wa hovyo kwa ujumla, bata za kipumbavu, unene....) na mpaka leo nalipia gharama zake japo sina presha, kisukari wala matatizo mengine ya kawaida kwa wazee (Mungu ni mwema!).
Kwa hiyo kijana tafuta pesa. Kula bata lakini kwa tahadhari na priority namba wani kwako iwe ni kulinda sana afya yako maana mambo unayoufanyia mwili wako kwa sasa madhara yake utaanza kuyaona miaka 15+ huko mbele ya safari (kama una bahati); na inaweza kuwa ni too late ukajikuta umeshaharibu kila kitu.
➡️➡️➡️ NB: Hata hizi shida zenu za nguvu za kiume vijana wadogo miaka 35 mnafakamia mivayagra kuna mambo ukiyazingatia, hata huku uzeeni utakuwa sawa tu na wala hutahitaji haya madawa yenu. Ndiyo maana mpaka miaka ya 70, 80 na 90 hapa ilikuwa kawaida tu kukuta mzee wa miaka 78 bado anaendelea kuoa vibinti vibichi; na anavizalisha! Wewe hakikisha tu cardiovascular system yako iko sawa na mengine yote ni marahisi. Ongeeni na wazee mjifunze 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🖐
Vijana tunawaza mapenzi tu na stareheUmeongea ikweli kabisa! Mimi nafanyakazi (manual) ambazo kijana hawezi! Nilinunua shamba sehemu kwa ajili ya kufuga na kuna sehemu kuna bonde! Nimechimba shims la foot 12 na upana foot 10 kwa ajili ya kupata kifusi lakini pia kujenga kisima cha kuvunia maji ya mvua! Hii kazi nimeifanya mwenyewe (manual work) mdogo mdogo kwa miezi miwili nimetokwa jasho la kutosha na kuuweka mwili wangu fiti. Hizi energy drinks nilikuwa nzinywa lakini kutokana na mzigo wa kazi zilikuwa digested!
Na tunafanya kweli, jionee mfano. Wabarikiwe under 25 wanaotunza wazee kama huyu bintiUkweli
Kuna wanaume kama wewe mmoja wapo ni Usher Raymond. Tena Usher huwa mara nyingi anachukua same age.Exctly, am 44yrs, sitamanigi mwanamke under 30yrs kabisa