Maisha ya uzeeni bila hela ni tabu sana

Maisha ya uzeeni bila hela ni tabu sana

Yah kila mtu na taste yake, binafsi mimi sitaki mtu wa kunizidi kuanzia 8 years.
Mimi sijawahi kudate mwanamke anayenikaribia umri. Wengi nawazidi 5 years and above.

Iliwahi kutokea 2018 kuna mwanadada alikuwa na kababyface huyo ndiyo alinitrick kumbe alikuwa ananizidi 2 years ila nilipogundua hatukurudia tena hata kukutana tu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Unafikia umri umemtamani mtoto wa kike mrembo 18+ kumwita tu anakusalimia shkamoo babu au shkamoo baba.
Ujue bora akusalimie tu shkamoo
Hapo ujue bado upo
Ila akimalizia tu .
Una hali mbaya. Sitaki uzee aisee ngoja nitafute hela


Tatizo wengi hawanaga nidhamu ya matumizi ya Hela ujanani.
Wengi wanatapanya na kistarehe na wanawake.
Finali uzeeni.
Msianze kusumbua watoto na wagowa zenu.

Wapeni nafasi nao wale raha ya jasho lao.
 
Tatizo wengi hawanaga nidhamu ya matumizi ya Hela ujanani.
Wengi wanatapanya na kistarehe na wanawake.
Finali uzeeni.
Msianze kusumbua watoto na wagowa zenu.

Wapeni nafasi nao wale raha ya jasho lao.


Werevu huwa wanatumia kile kinachobaki baada ya kuwekeza na kuweka akiba,
Lakini wapumbavu hutumia kipato chote kikaisha, au hutumia kwanza kile kitakachobaki ndio huwekwa akiba au kuwekezwa.

Hiyo tofauti kubwa ilipo.
 
Unafikia umri umemtamani mtoto wa kike mrembo 18+ kumwita tu anakusalimia shkamoo babu au shkamoo baba.
Ujue bora akusalimie tu shkamoo
Hapo ujue bado upo
Ila akimalizia tu .
Una hali mbaya. Sitaki uzee aisee ngoja nitafute hela


Unakuja kuambiwa Mjomba yako fulani au baba yako alikuwa na Hela yule enzi zake MashaAllah .
Unaambiwa alikuwa na Neema si haba.
Unajiuliza sasa Mbona kachoka kama papatu papatu?
Ukipata wa kukwambia ukweli utagundua alikuwa malaya, Hela kamalizia kwa wanawake na starehe 👌👌
Halafu utake kuelemea wapwa wajinyime kisa wewe hukuwa na nidhamu ya matumizi!

Haikubaliki.
Akale alipopeleka mboga.
 
Ataa
 

Attachments

  • 1712754622652.jpg
    1712754622652.jpg
    257.1 KB · Views: 13
Unafikia umri umemtamani mtoto wa kike mrembo 18+ kumwita tu anakusalimia shkamoo babu au shkamoo baba.
Ujue bora akusalimie tu shkamoo
Hapo ujue bado upo
Ila akimalizia tu .
Una hali mbaya. Sitaki uzee aisee ngoja nitafute hela
Tafuta fedha wekeza kwa miradi isiyo na stress ukifika umri wa kutulia hapo unakula pension yako taratibu.
Mfano Mimi nimeamua kuwekeza kwenye nyumba za kupangisha.
Ukiwa na nyumba like 6 ambazo each inakuingizia like 300k meaning that per month utakuwa na kama 1.8 Million.

Then 1.8 Million x 12 months = 21.6 Million hapo nakuhakikishia kuwa uzee wako utakuwa unatafuna tu vitoto vya 2000 kwa sababu ukijumlisha na pension yako maisha yatakuwa burudani sana
 
Nina miaka 77 nakwenda 78 Desemba hii na ngoja nikwambie kitu kijana.

Pesa ndiyo ni muhimu sana huku uzeeni lakini cha muhimu zaidi ni afya yako. Ukizubaa ukajiachia mpaka ukajisababishia presha, kisukari, matatizo ya moyo, ini, figo; na mengineyo; kila kitu kinakuwa kimeparaganyika na hizo hela hutazifaidi. Kwanza hata mtambo wako wa nyuklia utakuwa haufanyi kazi!. Hata kula yako yenyewe itakuwa ni shida tupu!

Kijana Linda sana afya yako. Kama ni lazima unywe pombe basi kunywa kwa wastani (tunaambiwa na wataalamu kuwa usizidishe bia mbili kwa siku). Acha sigara maana hazina faida yo yote mwilini mwako. Punguza sukari na matumizi ya caffeine (kunywa kahawa na energy drinks kwa kiasi kidogo sana); na angalia sana mlo wako. Fanya vimazoezi karibu kila siku na kamwe usikubali ukanenepeana kama mbuzi wa Vatican.

Kama miaka ingekuwa inarudishwa nyuma kwa hakika ningejitahidi sana kulinda afya yangu maana kuna mambo niliyafanya huko ujanani (hasa pombe, nyama choma sana, ulaji wa hovyo kwa ujumla, bata za kipumbavu, unene....) na mpaka leo nalipia gharama zake japo sina presha, kisukari wala matatizo mengine ya kawaida kwa wazee (Mungu ni mwema!).

Kwa hiyo kijana tafuta pesa. Kula bata lakini kwa tahadhari na priority namba wani kwako iwe ni kulinda sana afya yako maana mambo unayoufanyia mwili wako kwa sasa madhara yake utaanza kuyaona miaka 15+ huko mbele ya safari (kama una bahati); na inaweza kuwa ni too late ukajikuta umeshaharibu kila kitu.

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] NB: Hata hizi shida zenu za nguvu za kiume vijana wadogo miaka 35 mnafakamia mivayagra kuna mambo ukiyazingatia, hata huku uzeeni utakuwa sawa tu na wala hutahitaji haya madawa yenu. Ndiyo maana mpaka miaka ya 70, 80 na 90 hapa ilikuwa kawaida tu kukuta mzee wa miaka 78 bado anaendelea kuoa vibinti vibichi; na anavizalisha! Wewe hakikisha tu cardiovascular system yako iko sawa na mengine yote ni marahisi. Ongeeni na wazee mjifunze [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji870]
Huo mwandiko unaonyesha huna miaka hiyo
 
Si unaenda chimbo ambako hawajuagi shikamoo tu unalipa unazagamua na kusepa!shida yenu mnataka kujimilikisha kila kitu hadi wanawake as if mko peke yenu,hilo haliwezekani na shikamoo baba/babu ziendelee!
 
Si unaenda chimbo ambako hawajuagi shikamoo tu unalipa unazagamua na kusepa!shida yenu mnataka kujimilikisha kila kitu hadi wanawake as if mko peke yenu,hilo haliwezekani na shikamoo baba/babu ziendelee!
Duuh kazi
 
Back
Top Bottom