Maisha ya ubachela

Haya jiendekeze hivyo hivyo wakifa sijui utamtegemea nani.Fanya kazi wewe dada acha kupenda miteremko.

Uchapakazi ndo mpango mzima wanaume wenyewe hawa wengine sikuhizi nao wanaangalia suala zima la Je bidada kiuchumi veepeeeee??
 
Unadhani kuolewa mchezo...watu wanazeeka hawaoni ht wa kumwambia bby basi njoo tuishi wote....ndoa si km kwenda cinema...ukitaka unaingia ukitaka huingii...mpango wa Mungu huo...halafu ukiingia kwa ndoa kwa dhumun la kwenda kujipunguzia shida zako...itakushinda mana utakua mzgo na unachojali wewe n haja zako tu na c upendo...akiishiwa ndoa utaikimbia
 
Kweli kabisa wewe tofali kuja pembeni kidogo
 
Hivi uyo hapo kwa avatar yako ni wewe?
 
Kwann sasa unakataa kuolewa,,
 
Huyo mume nae si mpaka ummpate.... Kuolewa si maamuzi ya mwanamke.
 

Upo tayari nikuchumbie
 
upweke una mambo,Umekaa ukafikiria,ukaona ushushe uzi wa namna hii upate faraja.
Natumai Umeipata.
 
Njoo nkupe hela ya kununua shabu ili mihemko iwe on fleek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…