Maisha ya ubachela


Umeona eeeeeeeeeeh
 
Wewe ni mwalimu?
 

Tatizo mkiona hivo hamjiamini mnatuogopa na kitu kidogo mnaweka hizo defense mechanisms zenu
 

Santeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wewe ni mwalimu?

Hapana kwani kulikoni kwa walimu?? Au unaongelea walimu hawa waliokaa hom mpaka wamechoka kila siku wanapigwa kalenda za ajira??? Hahaha sio mwalimu
 
Kuna mazuri mengi mfano kujichagulia mwanaume wa kustarehenae, kujipangia na kujiamulia mambo yako bila kubughudhiwa. Kuolewa nako kuna amri nyingi kuliko hiyari, jitahidi tu humohumo maana inaonekana ukipatwa na shida ndipo humfikiria mwanaume kama usaidizi sio baba wa familia.
 

Hahahahahahahahaha weeeeweeeee!
 
Mwanamke uliyeumbika kama unaishiwa alafu unalalamika, basi za kuambiwa umeshindwa kuchanganya na za kwako.
 
Tatizo lako ni kurukaruka kama kunguru mamii,jitulize kama kasuku,usitake maneno na wala usiwe kichwa maji,mkubali mmoja akuhudumie,lakini unarukia mafisi maji,baba sukari,vibosile uchwara,bodaboda,wauza kuku,wauza urembo,mangi wa dukani,Francis wa grocery,na konda wa dala dala hao wote wanakujaza mkosi na kukuzeesha mamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…