Maisha ya ubachela

Excellent!!!!
 
Kama mawazo ndo haya, ndoa kuvunjika ni halali...

HIVI MNADHANI HAO MABACHELA WANAUME HAYO ULIYOORODHESHA HAYAWAKUTI..?
 
Hawa ndo huwa tunawatafuna kwa kulipia gas tuu, na wewe ukija ukalipia luku basi unatafuna! Yani hawana tofauti saana na yule anasimama njiani pale ambiance usiku wa manane

Hahahahahahahahaha pole yao nayako pia!
 
Kama mawazo ndo haya, ndoa kuvunjika ni halali...

HIVI MNADHANI HAO MABACHELA WANAUME HAYO ULIYOORODHESHA HAYAWAKUTI..?

Kidole kimoja............................. Halafu sio kwamba ndo nipo nipo tu bila a wala bee
 
Hawa ndo huwa tunawatafuna kwa kulipia gas tuu, na wewe ukija ukalipia luku basi unatafuna! Yani hawana tofauti saana na yule anasimama njiani pale ambiance usiku wa manane

Huo muda wakwenda huko sasa nitaupata wapi??? kutwa nzima nakua biiiiiizeee ifike usiku niache kupumzika zangu mimi nahapo kuamka alfajiri kunanihusu. Awapi hio bado sana kwangu narudia bado sanaaa na haitokuja kutokea
 
Basi ni Heri uendelee kupiga vizinga kuliko kusimama barabarani!
 
anyway,nimekutafakari weeee sijui nikwambie nini.lakini ngoja nianze na hili.
bachelor haolewi! namaanisha hivi BACHELOR= AN UNMARRIED MAN/SINGLE MAN
WEWE NI BACHELORETTE= AN UNMARRIED WOMAN/SINGLE WOMAN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…