Maisha ya ubachela ni vituko

umenifurahisha mkuu
 
Maisha ya ubachela Siku zote unatafuta shortcut
 
mm hua nalala na feni katka spidi yake kali mbu hakugusi siku nzma usiombe umeme ukate ghafla hapo ndo utawajua vzr swala la neti niliacha nilivomaliza o level boardin
Haa ha ha ha.... na mimi geto langu linajotoo mzeee hatarii yani umeme ukikatika hata mchana ni fukutooo
 
Hahaaaa watu hua hawafui neti kabisaa..
ni mwezi wa 6 sasa toka ninunue neti mpya na kuichomeka sijawahi kuichomoa yaani mpaka inanuka vumbi aiseeee....mashuka yakichafuka yanapandiana tu kwa bed maana kufua kwa wiki2 mara moja
 
Wale tuliokaa boarding tukawa tunajipikiaaa mpoooooooo..

Maana demu akitokea unatelekeza sufuria na mkaa unakimbia u
 
Mweee wewe umepinda zaid..
Mm sox na nguo za ndani kufua ni lazima..

ILA natafuta shuka zenye mfumo wa Dippers natumia wiki then natupaaa
mwezi ujayo nanunua nyingine hii naitupa katika maisha yangu sijawahi fua neti na soksi vikichafuka tu mie natupa
 
Hamna maisha mazuri na mabaya kama ya ubachela unaweza lalia hata maji mkuu na maisha yakasonga.
 
Ubwabwa ushanishinda kupiika yaani lazima chumvi iwe nyingi au Uwe na kiini kama mchele..
Ubachelar raha sana....unapika wali kilo 2na nusu afu uko peke yako unakula mpaka kesho kutwa
 
Hahaha hilo la kuloweka masufulia mpk yanatoa harufu umenikumbusha pindi nipo chuo saut hostel za darfuu watu wanaloweka sufulia mpk zinatoa funza kifupi utaratibu unaosha vyombo kila unapotaka kupika sasa ndo hivo tabu sana.

Sasa kukitokea mtu anazaliwa berth day yke basi atamwagiwa yale maji ya ukoko utajuta yan haha
 
bilinganya mixer nyanya changu tyr mboga ishu kuosha vyombo
 
Hizo zikoje mummy ake Sabrina kidogo tuepukane na usumbufu wa net
Kuna vile vidawa vinauzwa 200 wengine huwa wanachoma kwenye moto,,lakin kuna vifaa vyake vinauzwa 10000 vingine 5000,,,unachukua hiyo dawa unaiweka kwenye hiyo kifaa kisha unachomeka kwenye soket ,,dawa inatoka taratibu inaua mbuu,,na hakuna harufu
 
ubachela unapika ugali mara mbichi
hujui kupika..wenzenu tulipangiwa zamu za kupiga deki,kuosha vyombo na kupika na Dada zetu ili ikitokea tmeenda kutafuta maisha sehemu tusipate tabu..na wake zetu wakiumwa au kuondoka kwa dharura tukabaki na watoto tusihangaike..hakuna kitu rahisi kupika kama ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…