Maisha ya ubachela ni vituko

hamna kazi ngumu kwa Bachelor kuosha vyombo [emoji23][emoji23]
 
ukiamka unaamka tu na kukurupuka, Kukunja shuka hukunji wala kutandika usiku ndo unakunguta shuka tu unapiga mbonji
Sijawahi kuamka nisikunje shuka na kutandika kitanda aisee! We differ
 
Kufua, kupika, kilufagia, kuosha vyombo (ingawa huwa situmii vyombo vingi ili nisione uvivu kuosha) hvyo vyote kwangu siyo tatzo. Tatz ni kuweka na kutoa Net tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaaaaa Kufagia chini ya uvungu vepee..
Kufua, kupika, kilufagia, kuosha vyombo (ingawa huwa situmii vyombo vingi ili nisione uvivu kuosha) hvyo vyote kwangu siyo tatzo. Tatz ni kuweka na kutoa Net tu
 
Nikiwa bachelor sikuwahi kutumia net ya mbu kabisa,
 
Dah yaan kwenye kuosha vyombo na kufua ndio msala
 
Kupika soo sana, nakumbuka mamma alituachaga na dingi home akasonga ugali wakati anazungusha dona ikamwangukia kwenye mkuu akaapa hapiki tena mpaka leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wazee wetu huwa mbwembwe nyingi ila kwenye kupika ndo zero! Umenikumbusha mzee alipika ugali mtepe enzi hizo, sasa ole uinuke mapema, ni nakoz tu
 
Hakuna kitu sipendi kama kuchomeka na kuchomoa net kulaleki. Toka niichomeke sikumbuk lini natumbukuia na kutoka kama nijnja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Stupid! huo sio ubachela bali ni uchafu
 
Ndio maana mnaamua kuoa ili mpikiwe,mfuliwe,,manaume ya kitz mengi mavivu kweli
 
Mimi ni fundi mzuri wa kupika ugali ila shida ni suala la kuosha vyombo da! Hapa ndo ninapochoka bila kusahau suala pendwa la kunyoosha nguo hii kwangu nayo ni changamoto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…