Maisha ya ubachela ni vituko

[emoji28] [emoji23] [emoji23]

Sasa wewe wa unga kuishia kati, kwani wakati wa kupika hupimi unga na maji kuona kama vitatoshana, haki nyie watu...lol!
Sasa huo muda ntaotoa wapi wa kupima.tena unakuta ni sa sita usiku huo unga unakata katikati na maduka yamefugwa hahah
 
Kazi ngumu kwa bachela ni kutandika kitanda na kuchomeka net
 
Huo Uchafu Bna Labda Kutotoa Net Kwa Mda Mlefu Ila Vyombo Kuoshwa Ni Kila Cku
 
gheto usafi ni jumapili kwa jumapili tu
 
Maisha ya ubachela yalifanya nipate mbinu ya kupika maharage napoenda kulala napoamka asubuhi yameiva naunga napika wali wa siku 3, nahifadhi nakuwa najilia tu.
 
dadeq hapo kwenye kuosha vyombo ndio huwa naona tabu. kwel ubachela ni noma
 
Henry keeps telling me he just turned 30
Having dreams of being single forever he’s getting worried And I’m scared too because I’m in the same boat
Good women are rare too, none of them have come close
 
Maisha ya ubachela yalifanya nipate mbinu ya kupika maharage napoenda kulala napoamka asubuhi yameiva naunga napika wali wa siku 3, nahifadhi nakuwa najilia tu.
KwA sisi tunaopikia gesi tunafanyaje mkuu?
 
Darfur..... Umenikumbusha mbali mkuu
 
Kuwa bachelor haina maana uwe mchafu,mbona kuna watu mabachelor ila ukifika wanapoishi unaweza kudhani ameoa
 

Mmmmmh ila huo ubachela wako ndo nausikia leo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…