Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,543
- 3,009
Kwan hela walizopewa kwenye kampen zimeisha mapema hvyo?
Ni kweli ushamba hauna uhusiano na kabila, sasa kwanini useme ni wasukuma na siyo wale wanaotuita sisi washamba ndo wanasema hayo maneno?Sina chuki na Wasukuma mkuu. Ila kama umeamua kuongelea Ushamba basi dalili mojawapo ni hii ya kushindwa kutambua upi UTANI ipi CHUKI.
Sidhani kama Ushamba una uhusiano na Kabila.
Ukimsikiliza Master J kwenye interview zake mbalimbali ndio unapata picha kwamba Hawa wanamziki wakongwe ni wajinga hawapaswi kuonewa huruma kabisa .Saida karoli na wasanii wengine kama Q chief walikubali kuuza haki zao zooote za muzikikwa maharamia.
Huyu Saida nadhani alimuuzia Felician Mutta(fm studios)
Q chilla aliuza kwa chief kiumbe haki zoote.
Hata diamond almanusura anase kwenye mitego hiyo, sema yeye alivyojitoa akaambiwa arudishe gari alilopewa
Ali jengewa nyumba nzuri mwanza, maisha ni uamuzi binafsi.Huyu mama sidhani kama ana maisha hayo magumu....
Kwa miaka kadhaa show zake anapiga migodini na miji midogo akiwa na wasanii kama best naso.
Pia uganda anapata show sana huko.... Sina hakika na hilo ulilosema
Labda useme haonekani kwenye majukwaa makubwa
Uwe unazingatia paragraphs ukiandika.Completely out of point and touch.... Tunarudi kule kule ... akili ndezi za kibongo-bongo, bishana utaelewa baadae. Umeelewa point yangu? Point yangu ni kuwa uwe msanii, uwe mkulima, uwe mfanya biashara, kwa Bongo, maisha yako unapanga wewe mwenyewe. Kwa nini unataka wasanii ndiyo wapewe special treatment? Tena kama wewe ni msanii na umeajiri watu wengi, basi unatakiwa kuwa mwangalifu sana kujua kesho yako. Na nimesema hivi siyo kwa kuponda sekta nyingine, nimesema hivi kwa wajinga kama wewe kuponda sekta nyingine na kutaka wasanii ndiyo wapewe specail treatment. Mwalimu akistaafu, akiwa na maisha mabaya utasikia ametumia pension yake vibaya, msanii akivuma sana baadae akaishiwa, utasikia ''nchi ikubuke wasanii''. Bure kabisa akili matope. Na hiyo mifano uliyotoa haiendani kabisa kabisa na nilichosema! Sasa wewe huoni umekuwa fala kiasi cha kutoona kuwa mifano unayotoa inaonyesha usanii unalipa sana hivyo ni muhimu kupanga maisha yao ya baadae?
Unajua maana ya paragraph na matumizi yake? Sikuachi... japo unabadili magoli. Hoja yangu ni hii: Kwa nini unadhani wasanii tu ndiyo wanapaswa kusaidiwa na serkali wanapokwama kimaisha na siyo raia wote wakiwamo wakulima?Uwe unazingatia paragraphs ukiandika.
Endelea kuamini sanaa haiingizii taifa lolote, endelea kuamini wasanii hawana mchango wowote kwenye jamii au taifa. Endelea kuamini kila uzi JF inabidi ujadili kilimo tu, tusijadili sekta nyinginezo.
Nenda na kwenye nyuzi za siasa, ujenzi, utalii jadili kilimo na wakulima wake.
Ulitakiwa utumie paragraphs usiandike kama mwenye umeme mdogo kichwani.Unajua maana ya paragraph na matumizi yake? Sikuachi... japo unabadili magoli.
Uzi unajadili msanii, ndio maana nilishauri anzisha uzi wa mkulima useme jinsi wanavyopinda mgongo. Usitake watu wasijadili sanaa kisa wewe ushamba wako umeishia kwenye mapera, viazi na tikiti maji.Hoja yangu ni hii: Kwa nini unadhani wasanii tu ndiyo wanapaswa kusaidiwa na serkali wanapokwama kimaisha na siyo raia wote
I know the topic is about Saida, the singer. My point is this: why do you think that artists, such as musicians, are a special group who need special treatment from the government? Don’t you think all citizens should be treated equally?Ulitakiwa utumie paragraphs usiandike kama mwenye umeme mdogo kichwani.
Kama hujui maana ya paragraph tafuta mjukuu wako au mwanao akuelekeze.
Uzi unajadili msanii, ndio maana nilishauri anzisha uzi wa mkulima useme jinsi wanavyopinda mgongo. Usitake watu wasijadili sanaa kisa wewe ushamba wako umeishia kwenye mapera, viazi na tikiti maji.
Ukianzisha uzi wa mkulima kusaidiwa, hatakiwi kuja mtetesi wa wasanii kukuponda kwanini unajadili wakulima badala ya wasanii.
Na mimi hili uwa linanishangaza sana kibongobongo eti msanii au mchezaji mpira kwa upuuzi wake wakushindwa kupanga maisha yake akikwama eti asadiwe au serikali imemtupa , Vipi kuhusu kuhusu raia wengine??? Yale ni maisha yake binafsi apambane tu alichezea pesa kama raia wengine haitaji "special treatment".Unajua maana ya paragraph na matumizi yake? Sikuachi... japo unabadili magoli. Hoja yangu ni hii: Kwa nini unadhani wasanii tu ndiyo wanapaswa kusaidiwa na serkali wanapokwama kimaisha na siyo raia wote wakiwamo wakulima?
Saida alidhulumiwa na Mhaya mwenzake, MUTTA.Nimerejea Bukoba kwa likizo baada ya miaka kadhaa, na kwa masikitiko makubwa nilikumbana na hali iliyonishtua sana. Nilimkuta msanii nguli wa muziki wa asili, Saida Karoli aliyewahi kutoa nyimbo zilizopata umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi, hadi kuvuka mipaka ya Tanzania akiishi maisha ya dhiki yasiyoendana kabisa na hadhi na mchango wake mkubwa katika sanaa na utamaduni wa taifa.
Kwa sasa, Saida Karoli anaishi katika nyumba ya kupanga ya vyumba viwili, katika mazingira yasiyofurahisha, hali ambayo haistahili hata kidogo kwa msanii aliyewahi kuiwakilisha nchi yetu kimataifa kwa heshima kubwa. Hali hii inanifanya nijiulize maswali mazito kuhusu mfumo wetu wa kulinda wasanii, hasa wale waliotoa mchango mkubwa kabla ya enzi ya mifumo ya sasa ya kidijitali.
Kwa wajuzi wa masuala ya commercial entertainment, je, hakuna njia ya kusaidia wasanii kama Saida Karoli kufaidika na royalties za kazi zao walizofanya miaka ya nyuma? Je, sheria na taasisi zetu za hakimiliki zinawafikia kwa vitendo, au zipo tu kwenye maandishi?
Zaidi ya hapo, tukio hili linapaswa kuwa funzo kwa wasanii wanaong’ara kwa sasa. Umaarufu ni wa muda, lakini maisha ni ya kudumu. Ni muhimu kwa wasanii wa kizazi cha sasa kupambania sera imara za kulinda kazi zao, kudai haki zao za kisheria, kusaini mikataba yenye kuwanufaisha hadi baadaye
Kwa kweli, hali niliyoikuta imenihuzunisha sana.
Sahihi. Ajilaumu mwenyewe.Lakini wasanii wenzake walijaribu kumnyanyua mwaka 2017, 2018 kuna wasananii walimshirikisha kwenye nyimbo kadhaa na kutumia nyimbo zake za zamani.
Maisha siyo tu kupewa pesa, tatizo ni akili zetu wenyewe. Ukifikiria kwa pesa hata kidogo alizopata kwenye muziki asngeweza kufanya biashara au kilimo akajikwamua kiuchumi?
Hapaswi kulaumiwa yeyote kwa maisha ya mtu binafsi, ni hali ambazo mhusika mwenyewe huzisababisha.
Maisha haya dahh!
Huyu ndiyo alijuwa kumtumia, any way hali ya FM ikoje sahvi mkuuFM Studio...Felician Mutta.
Wasanii ni binadamu kama ulivyo wewe.Nimerejea Bukoba kwa likizo baada ya miaka kadhaa, na kwa masikitiko makubwa nilikumbana na hali iliyonishtua sana. Nilimkuta msanii nguli wa muziki wa asili, Saida Karoli aliyewahi kutoa nyimbo zilizopata umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi, hadi kuvuka mipaka ya Tanzania akiishi maisha ya dhiki yasiyoendana kabisa na hadhi na mchango wake mkubwa katika sanaa na utamaduni wa taifa.
Kwa sasa, Saida Karoli anaishi katika nyumba ya kupanga ya vyumba viwili, katika mazingira yasiyofurahisha, hali ambayo haistahili hata kidogo kwa msanii aliyewahi kuiwakilisha nchi yetu kimataifa kwa heshima kubwa. Hali hii inanifanya nijiulize maswali mazito kuhusu mfumo wetu wa kulinda wasanii, hasa wale waliotoa mchango mkubwa kabla ya enzi ya mifumo ya sasa ya kidijitali.
Kwa wajuzi wa masuala ya commercial entertainment, je, hakuna njia ya kusaidia wasanii kama Saida Karoli kufaidika na royalties za kazi zao walizofanya miaka ya nyuma? Je, sheria na taasisi zetu za hakimiliki zinawafikia kwa vitendo, au zipo tu kwenye maandishi?
Zaidi ya hapo, tukio hili linapaswa kuwa funzo kwa wasanii wanaong’ara kwa sasa. Umaarufu ni wa muda, lakini maisha ni ya kudumu. Ni muhimu kwa wasanii wa kizazi cha sasa kupambania sera imara za kulinda kazi zao, kudai haki zao za kisheria, kusaini mikataba yenye kuwanufaisha hadi baadaye
Kwa kweli, hali niliyoikuta imenihuzunisha sana.
🤣🤣Tuoneshe na wewe maisha yako