Maisha ya sasa ya msanii Saida Karoli

Maisha ya sasa ya msanii Saida Karoli

Nimerejea Bukoba kwa likizo baada ya miaka kadhaa, na kwa masikitiko makubwa nilikumbana na hali iliyonishtua sana. Nilimkuta msanii nguli wa muziki wa asili, Saida Karoli aliyewahi kutoa nyimbo zilizopata umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi, hadi kuvuka mipaka ya Tanzania akiishi maisha ya dhiki yasiyoendana kabisa na hadhi na mchango wake mkubwa katika sanaa na utamaduni wa taifa.

Kwa sasa, Saida Karoli anaishi katika nyumba ya kupanga ya vyumba viwili, katika mazingira yasiyofurahisha, hali ambayo haistahili hata kidogo kwa msanii aliyewahi kuiwakilisha nchi yetu kimataifa kwa heshima kubwa. Hali hii inanifanya nijiulize maswali mazito kuhusu mfumo wetu wa kulinda wasanii, hasa wale waliotoa mchango mkubwa kabla ya enzi ya mifumo ya sasa ya kidijitali.

Kwa wajuzi wa masuala ya commercial entertainment, je, hakuna njia ya kusaidia wasanii kama Saida Karoli kufaidika na royalties za kazi zao walizofanya miaka ya nyuma? Je, sheria na taasisi zetu za hakimiliki zinawafikia kwa vitendo, au zipo tu kwenye maandishi?

Zaidi ya hapo, tukio hili linapaswa kuwa funzo kwa wasanii wanaong’ara kwa sasa. Umaarufu ni wa muda, lakini maisha ni ya kudumu. Ni muhimu kwa wasanii wa kizazi cha sasa kupambania sera imara za kulinda kazi zao, kudai haki zao za kisheria, kusaini mikataba yenye kuwanufaisha hadi baadaye

Kwa kweli, hali niliyoikuta imenihuzunisha sana.
Nakumbuka iliwahi kusemwa enzi hizo saida akiwa kwenye kilele kuwa kwa siku moja alikuwa anakwenda ATM zaidi ya mara kumi. Meneja wake alikuwa somebody Rwegasira..... . Tatizo usimamizi wa pesa zake ulikuwa very poor ukichangiwa na yeye kutokuwa na elimu.
 
Ukiwa na uhakika kupata pato la hata laki sita plus au hata chn yake kutegemeana na mazingira unayoishi nakushauri yafuatayo hususani kama hujatoka royal family:

1. Epuka maisha ya anasa yasiyokuwa na maana/ achana na zile kauli za kusema "ponda maisha" wakati hujui hcho kipato kitaishaje?

2. Achana na ulaghai wa wana siasa uchwara, jitahidi kila mwezi uwe unapeleka hata elfu 40 au 50 pale NSSF angalau kwa muda wa miaka 15 mfulululizo, hautajutia..

3. jitahidi sana kujifunza kuhusu fixed account hususani kwa mabenki yanayotoa interest rate kubwa

4. achana na mambo ya AMIS UTT kama pato lako ni la chini ya milion 50.

5. jitahidi kwenda maeneo ya wilaya ambazo hazijachangamka hususani zilizo bush, nunua ardhi (huko gharama bado ni vitonga)

6. jitahd kujenga hata kama ni chumba na sebule ya kwako
-acha kujifanya eti unataka uwe na milion 30 ndo uje ujenge (kama huwez kujenga chumba na sebule, basi kipato kikisha utakuja kupanga chumba na sebule)
Mzee Kerato Mombaa umetoa ushauri ulionyooka sana. Nikiwa kijana mdogo sana chini ya miaka 25 baba yangu alikuwa ananiambia ninunue ardhi maeneo fulani ya mkoani Arusha ambapo kwa wakati ule mwaka 2009 kulikuwa ni porini yaani hakuna dalili ya maendeleo. Niliamua kwa shingo kumtumia Tsh 300k nikapata ekari 6.. nilituma pesa asije akaona nimepuuza ushauri wake. Yaani kumridhisha tu.

Miaka 15 baadae yale maeneo kuna umeme na maji. Nyumba kibao zimejengwa. Mimi pia ikabidi nijenge nyumba ndogo ya kulinda eneo. Huo ushauri namba 5 ni wa kuzingatia sana.
 
Huyu mama sidhani kama ana maisha hayo magumu....
Kwa miaka kadhaa show zake anapiga migodini na miji midogo akiwa na wasanii kama best naso.
Pia uganda anapata show sana huko.... Sina hakika na hilo ulilosema
Labda useme haonekani kwenye majukwaa makubwa
 
Mmh ya kweli hayo, si wanasema kajenga Mwanza...
Lakini kama alivyosema mdau mmoja hapo juu, saida sikuizi anaperform Hadi kwenye ukumbi za harusi za kihaya na Mimi hili nilishuhudia maana hio harusi nilikuwepo coz ilifanyikia Maeneo flani uko Dsm mwaka jana2025 na inasemakana alilipwa million7 ma dancer wake 2, hoteli kulala,nauli analipiwa na wenye sherehe so akipata hata hizo show za ukumbini walau 3/4 Kwa mwezi anasongesha Maisha, japo level yake sio ya kuperfom corridoni au kwenye harusi mara Kwa mara..
So kama ana Maisha magumu labda anatepeliwa au ufujaji na matumizi mabaya fedha zake
 
Ukiwa na uhakika kupata pato la hata laki sita plus au hata chn yake kutegemeana na mazingira unayoishi nakushauri yafuatayo hususani kama hujatoka royal family:

1. Epuka maisha ya anasa yasiyokuwa na maana/ achana na zile kauli za kusema "ponda maisha" wakati hujui hcho kipato kitaishaje?

2. Achana na ulaghai wa wana siasa uchwara, jitahidi kila mwezi uwe unapeleka hata elfu 40 au 50 pale NSSF angalau kwa muda wa miaka 15 mfulululizo, hautajutia..

3. jitahidi sana kujifunza kuhusu fixed account hususani kwa mabenki yanayotoa interest rate kubwa

4. achana na mambo ya AMIS UTT kama pato lako ni la chini ya milion 50.

5. jitahidi kwenda maeneo ya wilaya ambazo hazijachangamka hususani zilizo bush, nunua ardhi (huko gharama bado ni vitonga)

6. jitahd kujenga hata kama ni chumba na sebule ya kwako
-acha kujifanya eti unataka uwe na milion 30 ndo uje ujenge (kama huwez kujenga chumba na sebule, basi kipato kikisha utakuja kupanga chumba na sebule)

Mkuu, naomba elimu zaidi hapo kwenye point number 3 na 4.

Naona UTT Amis watu wanajiunga sana siku hizi.
 
Nimerejea Bukoba kwa likizo baada ya miaka kadhaa, na kwa masikitiko makubwa nilikumbana na hali iliyonishtua sana. Nilimkuta msanii nguli wa muziki wa asili, Saida Karoli aliyewahi kutoa nyimbo zilizopata umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi, hadi kuvuka mipaka ya Tanzania akiishi maisha ya dhiki yasiyoendana kabisa na hadhi na mchango wake mkubwa katika sanaa na utamaduni wa taifa.

Kwa sasa, Saida Karoli anaishi katika nyumba ya kupanga ya vyumba viwili, katika mazingira yasiyofurahisha, hali ambayo haistahili hata kidogo kwa msanii aliyewahi kuiwakilisha nchi yetu kimataifa kwa heshima kubwa. Hali hii inanifanya nijiulize maswali mazito kuhusu mfumo wetu wa kulinda wasanii, hasa wale waliotoa mchango mkubwa kabla ya enzi ya mifumo ya sasa ya kidijitali.

Kwa wajuzi wa masuala ya commercial entertainment, je, hakuna njia ya kusaidia wasanii kama Saida Karoli kufaidika na royalties za kazi zao walizofanya miaka ya nyuma? Je, sheria na taasisi zetu za hakimiliki zinawafikia kwa vitendo, au zipo tu kwenye maandishi?

Zaidi ya hapo, tukio hili linapaswa kuwa funzo kwa wasanii wanaong’ara kwa sasa. Umaarufu ni wa muda, lakini maisha ni ya kudumu. Ni muhimu kwa wasanii wa kizazi cha sasa kupambania sera imara za kulinda kazi zao, kudai haki zao za kisheria, kusaini mikataba yenye kuwanufaisha hadi baadaye

Kwa kweli, hali niliyoikuta imenihuzunisha sana.
Atajua mwenyewe. Hilo sio jambo la kuumiza kichwa taifa ikiwa kuna barabara hazipitiki mbwinde huko wajawazito wanajifungua road, analipa na kodi vyumba viwili!!!! watuumize vichwa vikongwe wanaotegemea tasaf, au watoto yatima. Huyo kama hakujua kuweka akiba kipindi anawachambulisha watu viuno kama karanga, wacha alione joto la jiwe.
 
Nimerejea Bukoba kwa likizo baada ya miaka kadhaa, na kwa masikitiko makubwa nilikumbana na hali iliyonishtua sana. Nilimkuta msanii nguli wa muziki wa asili, Saida Karoli aliyewahi kutoa nyimbo zilizopata umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi, hadi kuvuka mipaka ya Tanzania akiishi maisha ya dhiki yasiyoendana kabisa na hadhi na mchango wake mkubwa katika sanaa na utamaduni wa taifa.

Kwa sasa, Saida Karoli anaishi katika nyumba ya kupanga ya vyumba viwili, katika mazingira yasiyofurahisha, hali ambayo haistahili hata kidogo kwa msanii aliyewahi kuiwakilisha nchi yetu kimataifa kwa heshima kubwa. Hali hii inanifanya nijiulize maswali mazito kuhusu mfumo wetu wa kulinda wasanii, hasa wale waliotoa mchango mkubwa kabla ya enzi ya mifumo ya sasa ya kidijitali.

Kwa wajuzi wa masuala ya commercial entertainment, je, hakuna njia ya kusaidia wasanii kama Saida Karoli kufaidika na royalties za kazi zao walizofanya miaka ya nyuma? Je, sheria na taasisi zetu za hakimiliki zinawafikia kwa vitendo, au zipo tu kwenye maandishi?

Zaidi ya hapo, tukio hili linapaswa kuwa funzo kwa wasanii wanaong’ara kwa sasa. Umaarufu ni wa muda, lakini maisha ni ya kudumu. Ni muhimu kwa wasanii wa kizazi cha sasa kupambania sera imara za kulinda kazi zao, kudai haki zao za kisheria, kusaini mikataba yenye kuwanufaisha hadi baadaye

Kwa kweli, hali niliyoikuta imenihuzunisha sana.
Felician Mutta
Rugemalira Mutahaba
Clouds FM
BASATA
And the likeness......

Wamehusika
 
Kwa nini mnadhani wasanii ndiyo wenye haki ya kusaidiwa na siyo wakulima waliolima kwa bidii na wengine kuathirika na chemicals au kuumia migongo kwa kuinama shambani? Tena wakulima wanaingizia nchi fedha za kigeni, msanii anaingiza nini kwa nchi?
 
Una chuki na WASUKUMA eeh! kwanza hatuna hayo mambo, mmeng'ang'ana kutuita washamba umeona tunalalamika?
Sina chuki na Wasukuma mkuu. Ila kama umeamua kuongelea Ushamba basi dalili mojawapo ni hii ya kushindwa kutambua upi UTANI ipi CHUKI.

Sidhani kama Ushamba una uhusiano na Kabila.
 
Saida Karoli yuko vizuri tu ila watu wengine ndo wanamuona kapigika. Kuishi nyumba ya kupanga vyumba viwili maana yake anaweza kulipa kodi,asilimia kubwa ndio tunaishi hivyo mjini.
 
Huyu mama sidhani kama ana maisha hayo magumu....
Kwa miaka kadhaa show zake anapiga migodini na miji midogo akiwa na wasanii kama best naso.
Pia uganda anapata show sana huko.... Sina hakika na hilo ulilosema
Labda useme haonekani kwenye majukwaa makubwa
Saida hana maisha magumu, haombi msaada kwa mtu yeyote. Tatizo ni watu waliokuwa wanasikia tu nyimbo zake wakimuona wanategemea awe na maisha fulani.
 
Kwa nini mnadhani wasanii ndiyo wenye haki ya kusaidiwa na siyo wakulima waliolima kwa bidii na wengine kuathirika na chemicals au kuumia migongo kwa kuinama shambani? Tena wakulima wanaingizia nchi fedha za kigeni, msanii anaingiza nini kwa nchi?
Wewe unayejua wakulima wanahitaji msaada kwanini usianzishe uzi juu ya hoja hiyo. Kwani JF ni forum ya wakulima pekee.

Msanii anaingiza nini kwa nchi? Bollywood pale India inaingiza over $2.5 billion kwa mwaka, sisi tukifanya utaratibu mzuri tunakuwa hatuingizi fedha za kigeni hata dola milioni kadhaa ikawa ajira kwa vijana.

Diamond ni msanii, ameajiri watu wangapi kuanzia producers, watu wa videography, madereva, mameneja, wasanii wengine, watangazaji wa redio. Waigizaji na waimbaji wanaweza tumika kutangaza vivutio vya utalii na tamaduni zetu. Festivals kama Sauti za Busara inaleta watalii.

Nyinyi washamba mnadhani nchi inaendeshwa na sekta moja. Yani watu milioni 70 wote wawe walima viazi sijui mihogo. Unaweza tetea wakulima bila kuponda sekta nyinginezo.

Kule Kusini mwa Afrika, The Gods Must be Crazy ilitoka 1980 kwa bajeti ya $5 million ila ikauza zaidi ya $100 million, hiyo faida kwa viazi na nyanya unaweza ipata? Au hiyo hela haiingii kwenye mzunguko na kusaidia raia vilevile kama hela ya nyanya.
 
Completely out of point and touch.... Tunarudi kule kule ... akili ndezi za kibongo-bongo, bishana utaelewa baadae. Umeelewa point yangu? Point yangu ni kuwa uwe msanii, uwe mkulima, uwe mfanya biashara, kwa Bongo, maisha yako unapanga wewe mwenyewe. Kwa nini unataka wasanii ndiyo wapewe special treatment? Tena kama wewe ni msanii na umeajiri watu wengi, basi unatakiwa kuwa mwangalifu sana kujua kesho yako. Na nimesema hivi siyo kwa kuponda sekta nyingine, nimesema hivi kwa wajinga kama wewe kuponda sekta nyingine na kutaka wasanii ndiyo wapewe specail treatment. Mwalimu akistaafu, akiwa na maisha mabaya utasikia ametumia pension yake vibaya, msanii akivuma sana baadae akaishiwa, utasikia ''nchi ikubuke wasanii''. Bure kabisa akili matope. Na hiyo mifano uliyotoa haiendani kabisa kabisa na nilichosema! Sasa wewe huoni umekuwa fala kiasi cha kutoona kuwa mifano unayotoa inaonyesha usanii unalipa sana hivyo ni muhimu kupanga maisha yao ya baadae?
 
Back
Top Bottom