Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Kujishaua sunnah(source: Lily Flower) babu weee!
Hivi Mungi alipokutosa ndio umeachana kabisa na safari ya Tanga?
Last edited by a moderator:
Kujishaua sunnah(source: Lily Flower) babu weee!
Preta usisahau kuniletea madhiwa
Achana na Nicas Mtei anataka yale halisi ya kunyonya mimi nataka ya kibuyu
Nicas Mtei siku hizi hayo ya kunyonya unatakiwa kuwa makini pale wanapaka dawa aise unaweza nyonya ukajikuta kwenye mtaroYale halisi ya kunyonya ndo hayajachakachuliwa
nipo na mning'inio na usingizi tangu morning. Si unajua mambo ya Sundown!?
Nicas Mtei siku hizi hayo ya kunyonya unatakiwa kuwa makini pale wanapaka dawa aise unaweza nyonya ukajikuta kwenye mtaro
Nicas Mtei siku hizi hayo ya kunyonya unatakiwa kuwa makini pale wanapaka dawa aise unaweza nyonya ukajikuta kwenye mtaro
Lily Flower hapana ndugu yangu hayajanikutaYalishakukuta nini Mr Rocky funguka........
Nicas Mtei hayafai bana kitu from original bana unanyonya mwenyewe kutoka kwenye chanzo hiyo ya kukamulia ni kama unakunywa ya mbuzi sasaNtayakamulia kwenye kikombe
Nicas Mtei siku hizi hayo ya kunyonya unatakiwa kuwa makini pale wanapaka dawa aise unaweza nyonya ukajikuta kwenye mtaro
Lily Flower hapana ndugu yangu hayajanikuta
hapo nakana kabisa
Ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko Mungi kunitosa mimi!
Embu funguka zaidi! Usikute wewe ndiye yule jamaa aliyechukua "kitu" hapo Picnic akaendanacho maeneo na kuanza nae malavidavi ya kunyonya nyonya akajikuta Selian akiwa hoi, amelambwa kila kitu na hata hakuwa amefanya ile kitu!
Filipo niko makini siwezi kuokota kitu na bado nikipe malavidavi ya mpaka kunyonya aiseEmbu sema vizuri! Mbona unakatika katika!?
Filipo niko makini siwezi kuokota kitu na bado nikipe malavidavi ya mpaka kunyonya aise
Mwiko kabisa kumpa mtu kama huyo mapenzi motomoto
Ni mwiko kunyonya au kumpa french kiss wenzetu wanasema
ni kile kitu then unachomoka fasta
Filipo ni balaa siku hizi aiseHapo kwenye red ndio palipoleta shida! Jamaa alipata "rizimu" akapoteza network!
Hahahaha! Ukivaa boxer nzuri pia wanapita nayo lol. Wife itabidi umwambie ulivamiwa na majambazi walobeba vitu vyenye ncha kali lol.Filipo ni balaa siku hizi aise
na ukicheza wanalamba kila kitu utabaki na boxer tuu na sijui kwa mkeo utaenda kumwambia ulikuwa wapi