Maisha ya Preta Yaeda Chini

Maisha ya Preta Yaeda Chini

nimeshagandisha....usiogope.....we si unapenda yale machachu...au yale yenye waduduwadudu.....?

yale machachu ndio mwake kabisa yaani unakunywa huku unakunja sura
na yakiwa kwenye kibuyu ni balaa
nakusubiria Preta
 
Last edited by a moderator:

orait.....basi mtakuja kunipokea na sweetlady.....nyie mkiona bhuibhui tu.....(itakuwa imewasha koroboi).....mjue nipo ndani....nitashukia Ngarenaro........
 
Ngoja kabisa nimwambie sweetlady akuandalie na maji ya kuoga achemshe pipa zima maana ukichanganya na harufu ya moshi na samadi huko itabidi tukuwekee pipa zima la maji na sabuni mche mzima ya mbuni ili uoge na kutakata
Halafu tutakuandalia na mtu wa salon kabisa aje akukate hizo nywele maana zitakuwa zina harufu ya kiloriti
 
Usiwe na wasiwasi Mr Rocky mie ntaandaa kila kitu!
 
Last edited by a moderator:
orait.....basi mtakuja kunipokea na sweetlady.....nyie mkiona bhuibhui tu.....(itakuwa imewasha koroboi).....mjue nipo ndani....nitashukia Ngarenaro........
Hahaha, ngarenaro kubwa kuliko arusha Preta, utashukia pale kwa mwenyekiti wa mtaa au kwa katibu wake?
 
Last edited by a moderator:
Usiwe na wasiwasi Mr Rocky mie ntaandaa kila kitu!
sweetlady afadhali aise maana akiingia na hilo tope lake ndani ya carpet halitakaa ling'ae tena
mwandalie na dobi wa kufua nguo zake maana zitakuwa balaa hazipaswi kuingia ndani ya nyumba
Anashukia Ngarenaro kwa mwenyekiti pale
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nimemwona
Maasai%20Village091.jpg

Preta Ni yupi kati ya hao?
 
Heeee Preta mie naomba uniletee nyama ya pundamlia kama zile mlizopewa kipindi cha sensa nasikia bado zipo, usiache kuja nazo.
 
Last edited by a moderator:
sweetlady afadhali aise maana akiingia na hilo tope lake ndani ya carpet halitakaa ling'ae tena
mwandalie na dobi wa kufua nguo zake maana zitakuwa balaa hazipaswi kuingia ndani ya nyumba
Anashukia Ngarenaro kwa mwenyekiti pale
Hahahahaha! Tope jekunduuuu! Mwambie asisahau kutuletea na mafuta ya alizeti!
 
Last edited by a moderator:
Heeee Preta mie naomba uniletee nyama ya pundamlia kama zile mlizopewa kipindi cha sensa nasikia bado zipo, usiache kuja nazo.
Subiri nape akipita hapo kwenu umwagize, yeye ndie anajua pa kuzipata hizo nyama!

Nakusalimia Lily Flower, hivi Mungi bado hajarudi? Nilimkopesha nauli kwa makubaliano anilipe akirejea jijini!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha! Tope jekunduuuu! Mwambie asisahau kutuletea na mafuta ya alizeti!

Nishamwambia kabisa asisahau na madhiwa ya kwenye kibuyu na mafuta ya alizeti
Atuletee na mkaa pia maana kuna shida sana ya mkaa huku
 
Mkaa na mafuta alete kwa wingi yatufikishe jan 2013 lol!
 
Back
Top Bottom