Maisha ya Preta Yaeda Chini

2968_353135591446550_402690174_n.jpg

Preta akiwa kaanza Maisha Huko Yaeda hapo pichani akiwa na wanawe akiwazoesha maisha ya Bush...

Nikiripoti kutoka Karatu....... mimi Ni Georgeeeeeeeeeee Maratooooooooooo waaaa Aiiiiiiiiiiiiiiiiii Tiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Viiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kwani Preta mwanaume?
Preta nangoja zawadi yangu toka Yaeda...hakikisha naipata kabla jua halijakuchwa!
 
Last edited by a moderator:
Filipo
Hebu jitokeze mwelekeze huyu ndugu yetu king kong njia ya kufika kule kwa wajomba wetu kwani namwona akisema yuko seriously eti hajawahi hata kupasikia sehemu kama hiyo! Na Filipo, ukumbuke siku ile tulipoenda wewe ndio ulikuwa unaendesha gari kwa hiyo bila shaka unapakumbuka njia vizuri kabisa!

Seriously I don't know the place!! Tell me where is located?
 
Last edited by a moderator:
Filipo
Hebu jitokeze mwelekeze huyu ndugu yetu king kong njia ya kufika kule kwa wajomba wetu kwani namwona akisema yuko seriously eti hajawahi hata kupasikia sehemu kama hiyo! Na Filipo, ukumbuke siku ile tulipoenda wewe ndio ulikuwa unaendesha gari kwa hiyo bila shaka unapakumbuka njia vizuri kabisa!

Huwezi jua bana! Ukute jamaa ni Alshabab aende kumlipua Preta!
 
Last edited by a moderator:
Preta upo juu naona mjengo wako unapeperusha bendera bila shaka we ni mbunge wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom