...kudadek...wasalimie huko@Preta
sasa nyie hamjui utamu wa maisha ya kijijini......bakini mjini kwenu huko.......
yepi sasa........?
...nakuja...X mass...bebii si ulisema utakuja........
Hata mimi nimemwona
![]()
Heeee! Umesikia huko ni Moshi? Moshi ndio kunaendwa X'mass bana!...nakuja...X mass...