Maisha ya peke yako

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kweli nna uhuru wa ajabu!
Nampost nnaetaka bila kuulizwa kwa hasira huyo ni nani yako?
Sihangaiki kununua vyupi vipya
Naenda kutalii kokote nnakotaka, leo nikijisikia kuspend weekend bagamoyo naenda bila kipingamizi wala kujieleza.
Pia huhitaji kunyoa mara kwa mara[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
kesho zitakuja faida za punyeto... JF siku hz kichwa cha mwendawazimu..!
 
Kwa kweli nna uhuru wa ajabu!
Nampost nnaetaka bila kuulizwa kwa hasira huyo ni nani yako?
Sihangaiki kununua vyupi vipya
Naenda kutalii kokote nnakotaka, leo nikijisikia kuspend weekend bagamoyo naenda bila kipingamizi wala kujieleza.
Haahaahaa ina maana sahv unavaa chupi zilizotoboka kyakyakyaaa
 
You know haya mambo ya missed call 10 yanahitaji watoto kiasi kwamba wakifikisha miaka yetu/yangu wanaset mfumo.

Sasa mimi na uzee huu bro si nitakujakumset nipo 50s na hapo yeye yupo kwenye menopause!
Kweli kabisaa. Kama umri ushakutupa mkono inabidi uachie vijana wa dotcom
 
teh hapa siyo utan nilijuaga ni yule wangu peke yake daily umechishe chup na bla na rangi tofauti khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…