charminglady ukitaka upate raha zaidi,mwambie dady wako watu8 aende kwao na mamy wako pia naye aende kwao,alafu unakuwa huru zaidi na dada yako sweetlady yaan full kujiachia hata mkiamua mshinde na vibikini mnazunguka ndani huyu jikoni huyu kule kama miez 9 utanipa majibu
ngoja uje uone, kimya hiki kilikuwa sio bure, anko sasa ndo my nxt target
Nimegukusa that's y!
Mtu ushajua "la kujipimia mwenyewe" na kuukraia!
hom utapawezaje? Kama sio abrakadabra?
Hahahah....naona huu muongozo umekaa kuzengea zengea mabinti zangu!!!
Kujua sio issue... Issue ni kuuruhusu moyo kukubali!!! Am happy moyo wangu umekubali hii situation.....
Fix- magumashi Bus Service
Hahahaaaa.... teh teh teh... kwi kwi kwi!!!!!
Cheka tu!
Unalo hiloo!
Na hili liwinta la leo Mwanza.
Hivi vile vindege ulivyotuambiaga vinakuja kila usubui windoni kwako, bado vinaendeleza customs yao au vilidisapia ?
Baada ya kuvisema hapa JF vilidisapia... kha wr nawe una kumbukumbu mwehhhh!!!!!
Hahahahaaa halafu yuko mjini tayari C6 !Erickb52 kazi ni kwako, ushindwe wewe tu, mi namtaka ankoo, we chukua charminglady, nilikuwa nambanaaa , mie kiatu....?
Sio udenda ila ni nafasi ya pekee ambayo nimekuwa nikiiomba itokee na kwa kuwa imetokea basi ni zaidi ya udenda watu8Mkwe naona hapa unamkabidhi fisi alinde bucha...
Erickb52 udenda ushaanza kumtoka loh...
Rahajeeere... yaan we acha tu!!!!
Ndiyo maana nikakuuliza, nilikua nna maana yangu!
Wkt ww unavihabarisha Jf mi kwangu sikuwa naviona vitu kama hivyo.
Hivi karibuni nami vimenitokea !
Swali :
Yawezekana ni vl vyako vimehamia kwangu ?
Umeona mkataba wetu?
Unakubali nitoe kauli ya mwisho charminglady ?
Sio udenda ila ni nafasi ya pekee ambayo nimekuwa nikiiomba itokee na kwa kuwa imetokea basi ni zaidi ya udenda watu8
Pia nafurahi kuwa mkwe wako na wa measkron
Nampenda sana charminglady na yeye ananipenda sema tu tulishindwa kuwa pamoja sababu ya vijimambo!
Sio udenda ila ni nafasi ya pekee ambayo nimekuwa nikiiomba itokee na kwa kuwa imetokea basi ni zaidi ya udenda watu8
Pia nafurahi kuwa mkwe wako na wa measkron
Nampenda sanacharminglady na yeye ananipenda sema tu tulishindwa kuwa pamoja sababu ya vijimambo!
umepotea sana nilikumiss,za maternity leave?
Hahahahaaaa aisee kweli jamaa hana shida ndio raha ya kuwa na dingi aloenda shule tena sio za kata lol za tarafa!