Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,418
- 29,432
Anamaanisha huyo huyo mpenzi wako ndo umfanye rafiki yako.yani usichukulie kila kiugum like wewe ndo mwanaume badsi kila saa umekunja ndita.taniana na mpenzi wako,mrushie maji mkiwa mnaoga,toaneni autingi huko,rushianeni mito,angalieni movie pamoja nikipata nafasi,Chezeni pamoja...mkiwa mnaoga huko bafuni fulu kulambanalambana bila sababu ya msingi[emoji28][emoji28]kama vipaka vile yani ili mradi ufanye kitu kipya siku hiyo
Siku nyingine mnapiga game kwenye tab(halafu game la kwenye tab ni konki mno mkipishanishana miguu) basi tu mradi usumbufu usumbufu[emoji851][emoji851]
[emoji851][emoji39][emoji97][emoji97]