mgendege
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 363
- 472
Maisha ya ndoa una weza mpenda mwenzako Sana lakini ukimkosea kidogo anakuacha anaondoka unabaki unaumia tuu. Mwingine unaweza ishi naye kwenye ndoa lakini humpendi inakua Kama mliowana kwa bahati mbaya kila ukimfanyia vituko vyote kwamba akuache utakuta nae HAKUACHI na unakuta ata atende jema gani Kama humpendi uta ona baya kwako Shikamoo went ndoa na maumivu yenu