Maisha ya ndoa ni kusaidiana

Bora hata wewe, Wanawake wenzio humu jF kuosha vyombo na kupika hawataki, ila wanataka mwanaume uwaletee pesa financial services
Hawa wa sasahivi wafuga kucha na wanachambia tissue watawezea wapi hayo kutwa kushinda na remote ya TV au kwenye dressing tables kazi zote anaachia house girl.. Wanawake wa asaiv ni janga..
 
Kukubembeleza tu mbona swala dogo hilo tutaenda outings ambazo hata hujai fika.. Mwanaume huwa hashindwi kesi ndogo ndogo kama hizo!
😂😂 kubembeleza week nzima utaweza mkuu? Kama utaweza basi mimi huwa siweki kinyongo japo nna hasira za haraka. Nakasirika to the maximum ila baada ya muda mfupi nasahau maisha yanaendelea.
 
kubembeleza week nzima utaweza mkuu? Kama utaweza basi mimi huwa siweki kinyongo japo nna hasira za haraka. Nakasirika to the maximum ila baada ya muda mfupi nasahau maisha yanaendelea.
Week tu? Hata mwezi mzima naweza, nisipokubembeleza wewe wa kumtima wangu asa ntambembeleza nani au unataka nikawabembeleze ulinikamata nao kwenye messages?

Ila huwezi niona naosha vyombo, kufua au kupika huko utanisamehe kwakweli hayo ni majukumu yako..
 
Week tu? Hata mwezi mzima naweza, nisipokubembeleza wewe wa kumtima wangu asa ntambembeleza nani au unataka nikawabembeleze ulinikamata nao kwenye messages?

Ila huwezi niona naosha vyombo, kufua au kupika huko utanisamehe kwakweli hayo ni majukumu yako..
Hahaa hupendi hizo kazi za vyombo na kupika eeh, kiukweli mimi nimelelewa kwenye jamii ambayo mtoto wa kiume hata kugusa jikoni eti stories tu haikua ni sifa nzuri, mwanaume anaenda shamba na mikazi migumu gumu tu. Ila sisi wadada ndiyo tunapika tena tunawapikia wanaume walioenda huko shamba. So nikiona mkaka anaosha vyombo anapika kidogo nashangaa japo nishaanza kuzoea. So for me nenda katafute pesa baba, hayo mengine ntafanya labda nikiwa naumwa. Ila siyo unaleta stories badala ya pesa hatutaelewana humo ndani na ntakupangia zamu ya usafi tu huna faida😂
 
Hahaa hupendi hizo kazi za vyombo na kupika eeh, kiukweli mimi nimelelewa kwenye jamii ambayo mtoto wa kiume hata kugusa jikoni eti stories tu haikua ni sifa nzuri, mwanaume anaenda shamba na mikazi migumu gumu tu. Ila sisi wadada ndiyo tunapika tena tunawapikia wanaume walioenda huko shamba. So nikiona mkaka anaosha vyombo anapika kidogo nashangaa japo nishaanza kuzoea. So for me nenda katafute pesa baba, hayo mengine ntafanya labda nikiwa naumwa. Ila siyo unaleta stories badala ya pesa hatutaelewana humo ndani na ntakupangia zamu ya usafi tu huna faida
Mimi hizo kazi sio kwamba siwezi kuzifanya naziweza tena kupika ni fundi haswaa, ila nikiwa na mchuchu ndani hapana kwakweli siwezi kujipendekeza kwenye hizo kazi huwa sizipendi nafanya tu kulingana na mazingira nitakayokua kwa wakati huo. Kazi yangu itakua ni kuleta ridhiki, kuleta maendeleo mengine ya familia na huduma za kimwili za kuhakikisha wewe umefika kunako kibo na mawenzi basi.. In case unaumwa sana hapo sawa i can do hizo kazi kiasi chake..
 
Yaani nyie viumbe matatizo yenu lazima mtafute namna yaonekane chanzo ni wanawake!! Gaaaiiiiii shame on you.
 
Back
Top Bottom