Maisha ya ndoa anayo pitia ndugu yangu ni mateso, je amelogwa?

Habari ya asubuhi wakuu.Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.Mimi nina umri wa miaka 33 na mke wangu ana umri wa miaka 31.Ndoa yetu ina muda wa miaka mitatu sasa ingawa bado hatujabahatika kupata mtoto.

Mimi na mke wangu,wote ni watumishi katika idara ya elimu ambapo mke wangu yupo msingi na mimi nipo sekondari.Yeye ana miaka 10 kazini (2010-2020) na mimi nina miaka 5 kazini (2015-2020)

Turudi nyuma kidogo,Kabla sijafahamiana na mke wangu nilikuwa na maisha yangu tu ya kawaida..ambapo kwa mshahara wangu nilikuwa namudu maisha yangu, nilikuwa nimepanga.

Mwaka 2016 niliweza kukutana na mwenzangu,tulifahamiana na hatimaye tukaanzisha mahusiano.Tuliweza kudumu kwa takribani mwaka mmoja. Mwaka 2017 tulifikia maamuzi ya kufunga pingu za maisha (NDOA).

Niligharamia harusi kwa asilimia 80,ni kipindi ambacho ilinilazimu kuingia kwenye mikopo mirefu,Maana yeye pia nilimkuta ana mkopo. Nilichukua mkopo wa muda wa miaka 7, kiasi cha pesa kiliweza kutumika kwa ajili ya send off na kiasi kingine kwa ajili ya harusi na pia kiasi kingine cha pesa niliweza kuanzisha biashara kadhaa ambazo pia hazikufanya vizuri maana niliishia kupata hasara.Nilikuwa napata take home ambayo kiukweli ilikuwa haitoshelezi mahitaji muhimu.

Mke wangu nilimkuta anaishi nyumba za serikali (KOTA) ambapo ni chumba na sebule.Ameishi hapo tangu alipo ajiriwa mnamo mwaka 2010.

Baada ya harusi mke wangu alinishawishi nihame nilipo kuwa naishi ili niende anapo ishi yeye (KOTA) ili niweze kusave pia gharama za kupanga. Nilikataa sana kufanya hivo lakini aliweza kulazimisha.

Nilikubaliana na uamuzi wa mke wangu,niliweza kuhamia anapo ishi yeye na hatimaye tuliunganisha vitu vyetu,sebule ikaenea vitu kiasi kwamba vingine vilikosa sehemu ya kukaa.Shule anayo fundisha mke wangu na ninapo fundisha mimi ni jirani saana (Takribani mita 100)

Tatizo linaanzia hapa wakuu,ndoa yetu ilikuwa ya furaha saana kwa kipindi cha mwaka mmoja tu.Kuanzia mwaka 2019 mwishoni mke wangu alionyesha mabadiliko makubwa saana.Alianza dharau,majivuno na kashfa..Akiwa anasema kuwa mimi naishi kwake hivyo natakiwa niondoke.

Wakuu ni maumivu makubwa mnoo,ilifikia hatua akawa hataki hata kupika wala kufua nguo zangu na anarudi nyakati anazo zijua yeye mimi nikiwa nimelala.

Ukimuuliza ni ugomvi mwanzo mwisho,ni maisha magumu sana ambayo ninapitia.Mwaka huu mwezi wa tatu bodi ya mikopo ikawa imeanza kunikata pesa yao,maana nilikuwa nimesahaulika kwa kipindi kirefu.Hivyo maumivu yakawa mara dufu,maana kwa sasa pesa inayo ingia ni 140,000/=

Baada ya kumjulisha mke wangu juu ya hilo,akazidi kunidharau na ugomvi ukawa mzito.Msimamo wake ukiwa ni ule ule kuwa nichukue vitu vyangu nimuache.Amesahau kuwa mkopo wangu pia uligharamia harusi pamoja na send off.

Nipo njia panda wakuu,najaribu kuwaza naenda kuanza vipi maisha kwa huu mshahara wangu? Nitalipia vipi kodi na hasa nikiangalia mkopo wangu ndo kwanza nimekatwa miaka miwili bado kama miaka mitano,je ntatoboa?

Saivi hali ni mbaya Zaidi,maana amenifukuza chumbani..hivyo ninalala sebuleni kwa takribani miezi mitano sasa. Ndugu,wasimamizi wa ndoa pamoja na paroko wamejaribu kutusuluhisha lakini mwenzangu ameshikilia msimamo ule ule kuwa niondoke.

Niko frustrated mnoo, kuna wakati nashindwa kutimiza majukumu yangu ya kazi vile ipasavyo.

Baadhi ya ndugu wamenishauri niondoke nikaanze maisha,ukizingatia hatuna mtoto wala mali zozote tulizo chuma pamoja,isipo kuwa tuna kiwanja pekee. lakini kila nikitafakari naona sitoweza kusimama kwa huu mshahara wangu mdogo hasa kumudu gharama za maisha.

Naombeni ushauri wenu wadau,nifanye nini katika hii hali ninayo pitia? Maana kiukweli hatuna future yoyote na ninahisi nitakufa kabla ya siku zangu.Nimejaribu kuandika kwa kifupi,lakini mambo ninayo pitia ni mengi mnoo.

HAYA NI MAISHA HALISI ANAYO PITIA NDUGU YANGU WA KARIBU SANA.WANAFAMILIA HATUJUI TUNAMSAIDIA VIPI MAANA HATAKI KABISA KUONDOKA KWA HUYO MWANAMKE MBALI NA MAUMIVU NA MATESO ANAYO PITIA.KUNA MUDA TUNAWAZA ,JE AMELOGWA NA HUYO MWANAMKE? TUMEMSHAURI IMESHINDIKANA.NINI KIFANYIKE?
mi kila siku nawaambie msioe na kuhamia kwa mwanamke hamnielewi haya masuala ya kuunanisha nguvu sijui tutaishi tuu achia mabibi zetu karne hioi mwanaume unsbeba mzigo wako mwenyewe ukishindwa kama hivo anza tena
 
Mkuu mkopo unaenda kuolea??
 
Kweli kuna watu wanamapenzi, mkopo halafu unaolea? Ha ha haha...daaah pole sana mkuu, mwambie aje PM nizungumze nae. Hakuna kitu kinashindikana bhana.
 
Walimu wanakatabia kao fulani ka kulana walimu kwa walimu wa ofisi moja wanakulana sana.
140000 ni pesa ndefu ukiamua kujinyima utaangaika mwanzo tu lakini utakaa sawa subiri mwisho picha linaisha anakuja kulala na mwanaume wake ndani .
Mi kwa kweli siwazi hata kwenye ndoto aseeh!eti kumdate mtu ofisi moja halafu ualimu?may be nisijuwe
 
Vipi kuhusu uzazi kuna mtu ana tatizo.maana muda mliokaa bila mtoto huenda ndio sababu,kizazi unachokweli wewe au unapaisha tu magoli
Imebid nifuatilie hili, historical background ya mwanamke inaonesha alisha date na wanaume wawili kwa nyakati tofauti ,wa kwanza walidumu kwa miaka mitatu (hawakupata mtoto) wa pili pia kwa miaka mitatu (hawakupata mtoto)

Hivyo hata baada ya kuolewa mpka sasa hajabahatika kupata mtoto.

Hivyo wenda ni tatizo la kudumu upande wa mwanamke according to the historical background.
 
Kodi ya single room=40 to 50k.
Unga 25kg= 20k
Gas ndogo=20k (naamini mtungi anao)
Mafuta ya kula=5k
Mchele 5kg=8k
Maji+umeme=8k
Sabuni+mafuta=15k
________
JUMLA. =130k.
Mwambie aondoke, hiyo pesa inatosha sana kufanya maisha ya kujibana. Kama alizoea bata+ mbwembwe kwa wananzengo, basi imekula kwake. Akijifanya kugoma, asubiri kuletewa kidume hapo ndani.
NB: vitu ajitahidi ahamishe kwa kichwa maana sio mbali. Mita 100 tu sio parefu kwa mwanaume.
Mchanganuo mzuri mkuu,ingawa hata baadhi ya ndugu tupo tayar kumshika mkono ili asimame lkn haelewi.Anadai anampenda sana mwanamke.Ndo maana nkasema wenda huyo mwanamke kamloga ndugu yetu 😁😁
 
Mlishindwaje kupata mtto kwa kipind chote umedumu naye hapa si bure huenda kuna game ulikua unachezewa bila kujua
Mkuu,baada ya kufuatilia..huyu mwanamke before hajaolewa inasemekana amesha ishi na wanaume wengine wawili kwa vipind tofauti na hakubahatika kupata mimba.
Hivo hata baada ya kuolewa rasmi na ndugu yetu..pia hawajapata mtoto.
 
pole Sana kiongozi Kwa uliyo na unayoendelea kuyapitia.
Umeandika Kwa ufupi na hisia zote,kiukweli nyakati zimebadilika Sana..zamani ilikua ukioa mtumishi mnasaidiana maisha yaan mnaunganisha mishahara mnaweka bajeti ya chakula,maji,dharula na Kodi.inayobaki mnasave kwaajili ya kufanya maendeleo.
Now days wanawake wenye ajira hasa hawa ambao umri unaanza kuwatupa mkono huwa wana stress na ndoa hivyo wanapopata mahusiano hulazimisha ndoa ili apate heshima mtaan lakini pia aliamini kupitia mshahara wako atafanya Mambo yake mengi Kwan mwanaume ndio kichwa cha familia (hatatumia mshahara wake Kwa mahitaji ya ndani) hivyo atanunua nguo,urembo n.k
Alipoona take home yako imekumbwa na tetemeko akaona malengo yake yote hayatatimia na wewe ndo umeshaweka kambi kwenye Kota yake hivyo atashindwa kuingiza mabuzi yake( mwl.mkuu,mratibu elimu na maafisa wengine + vibopa wenye biashara zao hapo mtaani)
Watumishi hasa walimu wa kike wana tamaa Sana ya maisha na wengi hugongwa ovyo mitaani Hadi unajiuliza hv huyu amesoma Hadi chuo kweli au amepewa tu kazi....
Kosa la Kwanza ni kwenda kuishi kwenye mazingira yake ya siku zote Kwan watu hudhani umehifadhiwa kumbe naww Una vitu vyako pale.
Kosa la pili ni kuweka wazi mshahara wako.
Kosa la tatu,ni wewe kujiweka ktk mode ya 'unyonge na kulalama ' ulipaswa umuweke chini umpe moyo kua hyo take home haitaathiri maisha yenu kwani Una mkakati A,B,C hata Kwa kumdanganya Tu angeridhika.
USHAURI;
Usiendelee kukaa hpo maana yatakufika makubwa,inaonesha ana jamaa nje Kwan anachelewa Sana kurudi wakati muda WA kutoka kazini unafahamika.
Ipo cku utakuta jamaa Yuko ndani anamnyandua hapo ndipo utakapojinyonga.
Kama ni kijjn 140000 ni kubwa Tu,tafuta rum moja ya kawaida panga,,washirikishe ndg na watu wa karibu watakuchangia utaanza kununua vtu taratibu mwanaume kuanza moja kawaida . Atakuja kujuta baadae wakati ww umesha move on ...
KWA AKILI ZANGU.
Ningegegeda rafiki zake wa karibu wote .ili Tu nafc yangu ifurahi(utani)
POLE SANA,SALI SANA PIA PUNGUZA MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA..KAA MBALI NA BAR

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama mngekua na watoto hawatakiwi kugeuka kamba ya kukunyongea.
Unashangaza sana kushindwa kujitegemea na umeajiriwa wakati kuna watu wanaamka na kutoka majumbani hawajui watapata kibarua gani kwa siku lakini ukiwaona wanavyotembea kwa kuvimba na kufurahia maisha huwezi kuamini.
Ni bora ule uji wa chumvi kwako kuliko uzungukwe na mahotpot kwa mwanamke asiyekuheshimu,wala kukuthamini,unaweza mgegeda nae akakuingizia kidole dadeki.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Mbona mnausingizia sana uchawi, sijaona mahali ambapo inaonesha karogwa katika story yako!
 
Habari ya asubuhi wakuu.Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.Mimi nina umri wa miaka 33 na mke wangu ana umri wa miaka 31.Ndoa yetu ina muda wa miaka mitatu sasa ingawa bado hatujabahatika kupata mtoto.

Mimi na mke wangu,wote ni watumishi katika idara ya elimu ambapo mke wangu yupo msingi na mimi nipo sekondari.Yeye ana miaka 10 kazini (2010-2020) na mimi nina miaka 5 kazini (2015-2020)

Turudi nyuma kidogo,Kabla sijafahamiana na mke wangu nilikuwa na maisha yangu tu ya kawaida..ambapo kwa mshahara wangu nilikuwa namudu maisha yangu, nilikuwa nimepanga.

Mwaka 2016 niliweza kukutana na mwenzangu,tulifahamiana na hatimaye tukaanzisha mahusiano.Tuliweza kudumu kwa takribani mwaka mmoja. Mwaka 2017 tulifikia maamuzi ya kufunga pingu za maisha (NDOA).

Niligharamia harusi kwa asilimia 80,ni kipindi ambacho ilinilazimu kuingia kwenye mikopo mirefu,Maana yeye pia nilimkuta ana mkopo. Nilichukua mkopo wa muda wa miaka 7, kiasi cha pesa kiliweza kutumika kwa ajili ya send off na kiasi kingine kwa ajili ya harusi na pia kiasi kingine cha pesa niliweza kuanzisha biashara kadhaa ambazo pia hazikufanya vizuri maana niliishia kupata hasara.Nilikuwa napata take home ambayo kiukweli ilikuwa haitoshelezi mahitaji muhimu.

Mke wangu nilimkuta anaishi nyumba za serikali (KOTA) ambapo ni chumba na sebule.Ameishi hapo tangu alipo ajiriwa mnamo mwaka 2010.

Baada ya harusi mke wangu alinishawishi nihame nilipo kuwa naishi ili niende anapo ishi yeye (KOTA) ili niweze kusave pia gharama za kupanga. Nilikataa sana kufanya hivo lakini aliweza kulazimisha.

Nilikubaliana na uamuzi wa mke wangu,niliweza kuhamia anapo ishi yeye na hatimaye tuliunganisha vitu vyetu,sebule ikaenea vitu kiasi kwamba vingine vilikosa sehemu ya kukaa.Shule anayo fundisha mke wangu na ninapo fundisha mimi ni jirani saana (Takribani mita 100)

Tatizo linaanzia hapa wakuu,ndoa yetu ilikuwa ya furaha saana kwa kipindi cha mwaka mmoja tu.Kuanzia mwaka 2019 mwishoni mke wangu alionyesha mabadiliko makubwa saana.Alianza dharau,majivuno na kashfa..Akiwa anasema kuwa mimi naishi kwake hivyo natakiwa niondoke.

Wakuu ni maumivu makubwa mnoo,ilifikia hatua akawa hataki hata kupika wala kufua nguo zangu na anarudi nyakati anazo zijua yeye mimi nikiwa nimelala.

Ukimuuliza ni ugomvi mwanzo mwisho,ni maisha magumu sana ambayo ninapitia.Mwaka huu mwezi wa tatu bodi ya mikopo ikawa imeanza kunikata pesa yao,maana nilikuwa nimesahaulika kwa kipindi kirefu.Hivyo maumivu yakawa mara dufu,maana kwa sasa pesa inayo ingia ni 140,000/=

Baada ya kumjulisha mke wangu juu ya hilo,akazidi kunidharau na ugomvi ukawa mzito.Msimamo wake ukiwa ni ule ule kuwa nichukue vitu vyangu nimuache.Amesahau kuwa mkopo wangu pia uligharamia harusi pamoja na send off.

Nipo njia panda wakuu,najaribu kuwaza naenda kuanza vipi maisha kwa huu mshahara wangu? Nitalipia vipi kodi na hasa nikiangalia mkopo wangu ndo kwanza nimekatwa miaka miwili bado kama miaka mitano,je ntatoboa?

Saivi hali ni mbaya Zaidi,maana amenifukuza chumbani..hivyo ninalala sebuleni kwa takribani miezi mitano sasa. Ndugu,wasimamizi wa ndoa pamoja na paroko wamejaribu kutusuluhisha lakini mwenzangu ameshikilia msimamo ule ule kuwa niondoke.

Niko frustrated mnoo, kuna wakati nashindwa kutimiza majukumu yangu ya kazi vile ipasavyo.

Baadhi ya ndugu wamenishauri niondoke nikaanze maisha,ukizingatia hatuna mtoto wala mali zozote tulizo chuma pamoja,isipo kuwa tuna kiwanja pekee. lakini kila nikitafakari naona sitoweza kusimama kwa huu mshahara wangu mdogo hasa kumudu gharama za maisha.

Naombeni ushauri wenu wadau,nifanye nini katika hii hali ninayo pitia? Maana kiukweli hatuna future yoyote na ninahisi nitakufa kabla ya siku zangu.Nimejaribu kuandika kwa kifupi,lakini mambo ninayo pitia ni mengi mnoo.

HAYA NI MAISHA HALISI ANAYO PITIA NDUGU YANGU WA KARIBU SANA.WANAFAMILIA HATUJUI TUNAMSAIDIA VIPI MAANA HATAKI KABISA KUONDOKA KWA HUYO MWANAMKE MBALI NA MAUMIVU NA MATESO ANAYO PITIA.KUNA MUDA TUNAWAZA ,JE AMELOGWA NA HUYO MWANAMKE? TUMEMSHAURI IMESHINDIKANA.NINI KIFANYIKE?
Je ninyi kama ndugu, mko tayari kumpatia makazi. Huna haja ya kuja JF, msaidieni ndugu yenu, hajarogwa wala nini, kama hamjampatia msaada wa makazi unategemea atoke aende wapi?
 
Aache uoga hana kinachowaunganisha hapo mfano mtoto jibu amefunga ndoa na shetani kamili asigeuke nyuma Kama lutu asiwe nguzo ya chumvi. 90% Ni ngumu Sana kutenganisha mwanamke na pesa, ukizidiwa kipato imekula kwako. Wanawake utamani Sana ndoa wakishaolewa uingiwa mdudu wa kuzibomoa ndoa
 
Ni roho ya kishetani kabisa.
Unasubiri nn mkuu jiongeze huyo kwa sasa sio mkeo tena huyo anamtu mwingine kapata ambaye ni bora kuliko wewe!! Hakuna cha kulazimisha wala usihangaike kaenda kwa wazazi wake wewe jiongeze tu kiroho safi ndoa ndio xiko hivyo kuna wanawake wapo kwa ajili ya kusudi maalum likitimia tu ndio basi tena
 
Kama ndugu msaidieni mmchangie apate makazi na jinsi ya kuanza maisha, msipochanga sasa mtachanga akiwa maiti, kwa level aliyofikia anaweza jiuwa. Kwenye kuoa unaweza ukamuoa lilithi au Hawa. Ukimuoa Hawa utafurahia maisha
 
Back
Top Bottom