Maisha ya Mtipweshi Msumbiji

Maisha ya Mtipweshi Msumbiji

Asante kiongozi...usafiri wa kwenda tete unapatikana wapi kutokea Tanzania?
Hakuna usafiri wa Direct kutoka Tz kwenda Tete, Msumbiji unachoweza kufanya ni kupanda basi TAQWA direct to Lilongwe, Malawi,hapo unapanda hiece mpaka border Dedza unaingia Msumbiji hapo pana usafiri kwenye kamji kadogo mwendo wa 40km ili upate usafiri wa kama 600km hivi to Tete mjini kumbuka hiyo Border kutoka Malawi tayari ni Tete.
 
North West Province (Mahikeng/Mafikeng). Nimependa wazo lako na usiogope, amini kama una tabia zuri utaishi popote hapa duniani, Tz ukweli ishakuwa ngumu sana kutoka hasa kama hauna elimu kama mimi. Nilikuwa huko few weeks past kama una duka basi ukubali biashara ya kukopesha kwa wafanyakazi ulipwe mwisho wa mwezi hapo unategemea utatoka lini?

Yeah kweli kaka.South vipi lakini? Nikija na capital ya milioni kumi naweza kuanza maisha?

Pamoja sana kaka upo Jo'burg?
 
North West Province (Mahikeng/Mafikeng). Nimependa wazo lako na usiogope, amini kama una tabia zuri utaishi popote hapa duniani, Tz ukweli ishakuwa ngumu sana kutoka hasa kama hauna elimu kama mimi. Nilikuwa huko few weeks past kama una duka basi ukubali biashara ya kukopesha kwa wafanyakazi ulipwe mwisho wa mwezi hapo unategemea utatoka lini?

True that bro..South pako vipi lakini? Nikiwa na capital ya milioni kumi za kibongo naweza kuanza maisha south?
 
Hakuna usafiri wa Direct kutoka Tz kwenda Tete, Msumbiji unachoweza kufanya ni kupanda basi TAQWA direct to Lilongwe, Malawi,hapo unapanda hiece mpaka border Dedza unaingia Msumbiji hapo pana usafiri kwenye kamji kadogo mwendo wa 40km ili upate usafiri wa kama 600km hivi to Tete mjini kumbuka hiyo Border kutoka Malawi tayari ni Tete.
Asante sana bro. Tete kuna usalama kwa watanzania? Coz nasikia askari wa huko wananyanyasa sana wabongo
 
Asante sana kwa maelezo mazuri..nitakuja Maputo... Vipi nikija na mtaji wa milioni kumi..naweza kuanza maisha hapo Maputo?
Unaweza, watu walikuja na spana tu na leo wanamaisha. Huku hakuna maduka ya madawa kuna Farmace, nadhan shart uanzishe farmace sio kiduka. Ila kunakitu nakiona japo sijawahi kukifuatilia sana, inawezekana mashart ya Farmace yakawa magumu kidogo maana huku farmace ni chache inafika wakati tunapanga foleni kununua dawa. Nadhan ni biashara nzuri ukiifatilia kwa karibu na kukidhi mashart yao.
 
Nimekupenda bure, akili yako na yangu naona zote zinarandana. Umetoa ushauri na mwogozo mzuri kwa Mtanzania mwezako, endelea hivyo hivyo nikiamini mungu atakulipa. Mie wakati nataka kuzamia nilikumbana na maneno mengi sana hasa la kwenda kuuliwa, mara naenda kulawitiwa, mara naenda kufa kwa Ukimwi!! Duh Watanzania wachache sana wenye moyo wa kumwombea mtu akafanikiwe. Naona hata Diamond namna wanavyomsakama kisa tu mafanikio. Nataka siku moja nikamtembelee na kumwambia azamie South mazima.
 
Asante sana sister nimekupm naomba unijibu pm tafafhali...asante sana
 
Nimekupenda bure, akili yako na yangu naona zote zinarandana. Umetoa ushauri na mwogozo mzuri kwa Mtanzania mwezako, endelea hivyo hivyo nikiamini mungu atakulipa. Mie wakati nataka kuzamia nilikumbana na maneno mengi sana hasa la kwenda kuuliwa, mara naenda kulawitiwa, mara naenda kufa kwa Ukimwi!! Duh Watanzania wachache sana wenye moyo wa kumwombea mtu akafanikiwe. Naona hata Diamond namna wanavyomsakama kisa tu mafanikio. Nataka siku moja nikamtembelee na kumwambia azamie South mazima.
Vipi kuhusu south mkuu? Kukoje ? Nikija na ten million za kibongo naweza kufungua duka?
 
Mkuu hiyo pesa ni ndogo kwa South Africa naona wazo lako la Msumbiji ni zuri zaidi kwani mtaji ukikua ndipo utaanza kufanya survey ya kuingia South Africa. Anyway huu ni mtazamo wangu tu kwa vile South sifanyi biashara ya duka hivyo naangalia tu kwa kutathmini. Maduka mengi ya huku yako katika style ya Mall's yaani kama pale Mlimani City
 
Ok nimekusoma mkuu
 
Sisi kama family tumewekeza saana zambia sehemu inaitwa MONGU nimbali. Kutoka LUSAKA.nikatika HOTEL,APARTMENT na sasa tuna karbia kufungua nyingine LUSAKA ni mpya kabisaaa.zambia pesa iko mingi sana.ndio kwanza wanaanza kujanjarka kwa mbaliiiii saaana.mwezi wa 11 pia tunataka kwenda southern SUDAN kucheki fulsa pia.
Hii ni moja wapo ya HOTEL yetu.kama family.
1113b2b959b677763beda86c0a174d18.jpg
How far is Mongu from Lusaka? And how much do you charge per night at your lodge? What moves in Mongu and Lusaka imported from Tanzania. Been to Lusaka a few times,beautiful city full of malls but it seems accommodation is so different compared to ours here.
 
Habari wadau keshokutwa ninasafiri kutoka Dar kuelekea Mtipweshi Msumbiji, ninakwenda kufanya business survey ninataka kuwekeza.

Kwa wadau mliopo Mtipweshi au ambao mmewahi kuishi Mtipweshi nipe ni dondoo tafadhali. Taratibu za kupata vibali vya kufungua biashara Mtipweshi zikoje?

Vipi kuhusu hali ya maisha kwa ujumla ikoje, na vipi kuhusu usumbufu wa polisi kwa RAIA wa Tanzania?

With much thanx in advance
Co mtipweshi ni Montepuez, karibu sana Mdau ubanguni
 
Back
Top Bottom