Bro unataka kusema Zamvbia wapo vizuri kuliko msumbiji?Isanga famit: 17696063 said:kwa ushauri nenda Lusaka, Zambia kuna soko kabisa kwa ajili ya wageni Commesa pale hakuna usumbufu na bidhaa za kutoka Tanzania na SA zinauzika sana pale mzunguko wa pesa upo huko msumbiji mchanga wa chuma tuu...ila kama unataka kutembea tuu nenda....
Mmh!!Si umesema unaenda kufanya business survey? Majibu mazuri utayapata hukohuko.
Nilisikia waganga wa kienyeji kutoka Tanzania wamepigwa marafuku sasa sijui kama hiyo amri ilishatenguliwa!!Asante kiongozi..ninaenda kuwekeza kwenye sekta ya afya..Lusaka patanifaa? Vipi kuhusu gharama za ofisi na utaratibu wa vibali vya biashara?
Nataka niende Maputo kabisa!! Nasikia ni safari ndefu saanaNi kweli police wanapenda rushwa, lakini ukiwa na documante zote labda watakuomba ya soda tu na ukimpa ya soda huwa rafiki yako. Huko motopwez sijui ila sehemu mi nilipo kuna usalama. Nakushauri uwe na document muhimu zote hautasumbuliwa sana.
Maputo ni palefu lkn kawaida tu kwa msafiliNataka niende Maputo kabisa!! Nasikia ni safari ndefu saana
Sijakuelewa unaposema renamo ya djarkama wakichaluka! Nifafanilie unamaanisha nini hapo??Maputo ni palefu lkn kawaida tu kwa msafili
Changamoto renamo ya djarkama wakichaluka ni shida
Wewe upo wapi? Vipi kuhusu nampula au Pemba?Ni kweli police wanapenda rushwa, lakini ukiwa na documante zote labda watakuomba ya soda tu na ukimpa ya soda huwa rafiki yako. Huko motopwez sijui ila sehemu mi nilipo kuna usalama. Nakushauri uwe na document muhimu zote hautasumbuliwa sana.
Pia kuna uwezekano wa kuwanunua polisi ile kibongo bongo?Ni kweli police wanapenda rushwa, lakini ukiwa na documante zote labda watakuomba ya soda tu na ukimpa ya soda huwa rafiki yako. Huko motopwez sijui ila sehemu mi nilipo kuna usalama. Nakushauri uwe na document muhimu zote hautasumbuliwa sana.
Uku baadhi ya maeneo kuna Vita renamo ni chama cha upinzani ambacho kipo msituni kwa sasa kinaendesha vita kwaiyo ukifika iyo sehemu kuna escoti za wanajeshi lkn zinapigwa ivo ivo huwa ashambulii magari kila siku lkn wakiamuwa akuna kwenda maputoSijakuelewa unaposema renamo ya djarkama wakichaluka! Nifafanilie unamaanisha nini hapo??