Maisha ya Mtipweshi Msumbiji

Maisha ya Mtipweshi Msumbiji

kikubwa uwe tu na vibali vyoote ila ni wasumbufu. hata ukiwa navyo jamaa hawaelewi na wasumbufu mnoo.kila la kheri nikifika ntakutafuta br mm huko mpaka wa 10.

Pamoja sana kaka..Vipi mzunguo wa hel upo vipi huko?
 
Tupatie darasa la zambia na biashara gani zinawateja mkuu?
Misasa Zambia wananunua sana nguo kutoka Tanzaniana SA na kodi kwao kuingiza mzigo ipo kidogo sana hizo nguo za kkoo pale zinatembea sana pamoja na urembo mimi nishawahi kufanya hiyo soko la kamwala kwa sasa ninawasafirishia na kununua mizigo kutoka SA.,mzambia ananunua nguo kila akipata mshahara awe mama au dada biashara ipo kitwe,Solwezi na Lusaka..mzunguko wa biashara upo tofauti kubwa na Tanzania na hakuna mambo ya kukamatana ukishalipa kodi yao hiyo ila nyumba ndio zipo ghari kuliko Tanzania..,
 
Mintupuez ni wiraya ktk mkoa Wa dergado ambapo kwa ufahamu Wangu mkoa Wa dergado una wiraya
Pemba Msimbwa parma mintupuez nangadi mweda
Muntupuezi biashara kubwa ni madini aina ya ruby wafanyabiashara Wa nchi nyingi wamejaa km
Senegari Mali niajelia Ghana thairand marayasia China Tanzania awo wote wapo kwa ajili ya ruby lkn Pia kuna mzunguko Wa biashara nyingi tu ni wiraya ndogo lkn INA watu wengi na rugha inayotumika sana ni kiswahili na kireno na kimakuwa biashara ya dawa nzuli tena inalipa sana lkn wana masharti magumu sana sio apo mintupuez tu Mozambique mzima mpaka kufunguwa pharmacy kuna kazi sana kupata vibari vyake wana Shelia kari sana khsu madawa wapo wanaoingiza kinyemela lkn wakikukamata utajuta kuzaliwa na biashara za madawa zina Pesa sana kwakuwa wao huduma zao za afya zipo chini
Mfano mm nilinunu vidonge vinaitwa viviani Tanzania nanunuaga elfu 1000tsh lkn uku wanauza 100mtcsh ambapo kipindi iko ni sawa na elfu 5 tzsh
Pesa yao INA samani kidogo tofauti na ya kwetu hta ivo kwa sasa imeshuka kidogo
Kwaiyo mkuu nakuomba uje kwanza kufanya uchunguzi ucheki na chenji zake kwa sasa
Khsu polisi ni kweli wasumbufu uwe na passport usiwe nayo ni shida tu razima uwape refreshco ndo utafanya yako kwaiyo changamoto ni nyingi sana
Khsu viza ni bure unagongewa ya miezi 3
Kuna kuna maswali nakalibisha
 
Asante sana kiongozi kwa taarifa...vipi kuhusu gharama za ofisi au fremu za kupanga zikoje? Na wanachukua kodi ya kuanzia miezi mingapi? Pia kuhusu usalama wa RAIA ukoje? I mean suala la ujambazi wa kutumia silaha upo?
 
Frem zipo kodi wapo tofauti kuna wanaochukuwa hta mwezi mmoja lkn miezi 3 kawaida
Usalama kwa vijijini mdogo uku sehemu za mgodi uhuni mwingi Mara nyingi utackia wanauwana au wanapigana kwa ajili ya kuzulumiana mambo ya madini
Mintupuez mjini usalama upo kwa wafanyabiashara Wa kawaida cjackia kupata matatizo lkn wenye madini na waliouza madini matukio nayackiaga sana inasemekana askari awo awo ndo wenye kudili na ayo matukio
 
Habari wadau keshokutwa ninasafiri kutoka Dar kuelekea Mtipweshi Msumbiji, ninakwenda kufanya business survey ninataka kuwekeza.

Kwa wadau mliopo Mtipweshi au ambao mmewahi kuishi Mtipweshi nipe ni dondoo tafadhali. Taratibu za kupata vibali vya kufungua biashara Mtipweshi zikoje?

Vipi kuhusu hali ya maisha kwa ujumla ikoje, na vipi kuhusu usumbufu wa polisi kwa RAIA wa Tanzania?

With much thanx in advance

Sisi kama family tumewekeza saana zambia sehemu inaitwa MONGU nimbali. Kutoka LUSAKA.nikatika HOTEL,APARTMENT na sasa tuna karbia kufungua nyingine LUSAKA ni mpya kabisaaa.zambia pesa iko mingi sana.ndio kwanza wanaanza kujanjarka kwa mbaliiiii saaana.mwezi wa 11 pia tunataka kwenda southern SUDAN kucheki fulsa pia.
Hii ni moja wapo ya HOTEL yetu.kama family.
1113b2b959b677763beda86c0a174d18.jpg
 
Frem zipo kodi wapo tofauti kuna wanaochukuwa hta mwezi mmoja lkn miezi 3 kawaida
Usalama kwa vijijini mdogo uku sehemu za mgodi uhuni mwingi Mara nyingi utackia wanauwana au wanapigana kwa ajili ya kuzulumiana mambo ya madini
Mintupuez mjini usalama upo kwa wafanyabiashara Wa kawaida cjackia kupata matatizo lkn wenye madini na waliouza madini matukio nayackiaga sana inasemekana askari awo awo ndo wenye kudili na ayo matukio
Kaka endelea kufunguka
 
Sisi kama family tumewekeza saana zambia sehemu inaitwa MONGU nimbali. Kutoka LUSAKA.nikatika HOTEL,APARTMENT na sasa tuna karbia kufungua nyingine LUSAKA ni mpya kabisaaa.zambia pesa iko mingi sana.ndio kwanza wanaanza kujanjarka kwa mbaliiiii saaana.mwezi wa 11 pia tunataka kwenda southern SUDAN kucheki fulsa pia.
Hii ni moja wapo ya HOTEL yetu.kama family.
1113b2b959b677763beda86c0a174d18.jpg
Hongereni sana kiongozi
 
naomba kazi ya aina yoyote Ile ndugu nimekwama huku tz
 
Policia wa mozambicano wanapenda hela xana hasa hao wa hiyo wilaya ushauri wangu bora uende tete ndo kunabiashara na kuna watanzani wengi kutoka mbeya na mwanza na shinyanga lakin mtepweshi kuna wasukuma pekee na wanageria afu saiv kule dolla imepanda kwahiyo utasumbuka sana kuhusu change
 
Back
Top Bottom