Maisha ya mchomoko Afrika Kusini

Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

Senior Member
Feb 1, 2023
101
241
Imeandikwa Na Bosco

Ukisikia South Africa Haraka haraka unachanganyikiwa na kuona ni nchi yenye pesa na kazi nje nje hapana haipo hivyo kwa miaka hii maisha ya wabongo wengi South Africa ni michomoko (MICHOMOKO) michomoko ni uwizi yani mwizi akiona mtu kaondoka kwenye ghetto lake Au nyumba yake basi yeye huja apo akiwa na Gari Au bila gari kuuvunja mlango wa chumba Au nyumba hiyo aliyo kusudia kuiba na kuondoka na vitu ghali kama radio, Simu, frij, tv nk.

Michomoko ni kazi Maalum sana kwa wabongo wanaoishi Dzonga Bila Vibali Maalum hujiita baharia na mwisho wa siku kazi hizi ukikamatwa ni shaba tu maana South Africa kufukuza mwizi hawawezi ni watumiaji wazuri wa silaha mbili tu Shaba na kisu na kazi nyingi ambazo ukiwa mtanzania.

Umekurupuka tu kuja South Africa Bila dira jiandae moja wapo mchomoko, kuwa tapeli, Nk Yani Kazi yoyote ya ovyo Itakuwa yako ugome ukatae na mwisho wako utakuwa mbaya sana maana kama mwezi umepita kuna mtanzania aliuwawa kwa Kuchomwa kisu na kisa chake kilikuwa hivi alitoka Tanzania bila mtaji wala dira alivyo fika Johannesburg ikabidi awe anauza madawa ya kulevya sasa boss wake alimpa mzigo auze akimaliza arudishe pesa maana yeye kila Kitu anategemea kwa boss kula kulala ambayo ni maisha ya utumwa sana bora ukomae Bongo tu sasa basi baada ya Jamaa Kuuza hela Zingine akatumia maana ile ni hela mshikaji akawa na uhitaji akatumia kimbembe kuirudisha ataitoa Wapi na boss wake ni mafia boss anafika anataka pesa yake jamaa haeleweki kigugumizi akaachwa kimya kimya bira kupewa mzigo mwingine akawa wa mtaani tu kumbe Jamaa amemuacha hajamsamehe siku Jamaa yupo mtaani akakuta jamaa fulani wameshuka kwenye gari Jamaa alipigwa Visu vya ghafla mtu chini kafa.

Kwa Kifupi visa vya South Africa kwa Watanzania ni vinasikitisha sana Kutokana na Maisha waliyo chagua na wengi wanaoishi maisha ya michomoko ambayo ni Hatari kifo chake ni bastola Au kisu maana mzulu ni mtu laini laini kupigana hawezi yeye anajua sana kutumia kisu.

Sasa basi kwa mtanzania yoyote unae taka kuja South Africa hakikisha umejipanga una mtaji wako na usifanye kabisa biashara ya kununua vitVyvya wizi kama Simu radio nk ni una risk tu bure maisha yako South Africa kwani nchi hii ni hatari sana sio kama Tanzania mtu aanze kufukuza mwizi mwizi huku hiyo haipo labda South Africa miji midogo dogo kama mpumalanga nk lakini sio miji mikubwa mikubwa na ukiona rafiki yako anakutaka uje South Africa muulize unafanya ishu gani huko maana ukikurupuka JIANDAE KUISHI MAISHA YA MICHOMOKO.

IMG_20230526_083257.jpg
IMG_20230529_090219.jpg
 
Imeandikwa Na Bosco

Ukisikia South Africa Haraka haraka unachanganyikiwa na kuona ni nchi yenye pesa na kazi nje nje hapana haipo hivyo kwa miaka hii maisha ya wabongo wengi South Africa ni michomoko (MICHOMOKO) michomoko ni uwizi yani mwizi akiona mtu kaondoka kwenye ghetto lake Au nyumba yake basi yeye huja apo akiwa na Gari Au bila gari huvunja mlango wa chumba Au hiyo aliyo kusudia kuiba na kuondoka na vitu ghali kama radio, Simu, frij, tv nk. Michomoko ni kazi Maalum sana kwa wabongo wanaoishi. Dzonga Bila Vibali Maalum hujiita baharia na mwisho wa siku kazi hizi ukikamatwa ni shaba tu maana South Africa kufukuza mwizi hawawezi ni watumiaji wazuri wa silaha mbili tu Shaba na kisu na kazi nyingi ambazo ukiwa mtanzania. umekurupuka tu KUJA South Africa Bila dira jiandae moja wapo mchomoko, kuwa tapeli, Nk Yani Kazi yoyote ya ovyo Itakuwa yako ugome ukatae na mwisho wako utakuwa mbaya sana maana kama mwezi umepita kuna mtanzania aliuwawa kwa Kuchomwa kisu na kisa chake kilikuwa hivi alitoka Tanzania bila mtaji wala dira alivyo fika Johannesburg ikabidi awe anauza madawa ya kulevya sasa boss wake alimpa mzigo auze akimaliza arudishe pesa maana yeye kila Kitu anategemea kwa boss kula kulala. ambayo ni maisha ya utumwa sana bora ukomae Bongo tu sasa basi baada ya Jamaa Kuuza hela Zingine akatumia maana ile ni hela mshikaji akawa na uhitaji akatumia kimbembe kiurudisha ataitoa Wapi na boss wake ni mafia boss anafika anataka pesa yake jamaa haeleweki kigugumizi akaachwa kimya kimya bira kupewa mzigo mwingine akawa wa mtaani tu kumbe Jamaa amemuacha hajamsamehe siku Jamaa yupo mtaani akakuta jamaa fulani wameshuka kwenye gari Jamaa alipigwa Visu vya ghafla mtu chini kafa. Kwa Kifupi visa vya South Africa kwa watanzania ni vinasikitisha sana Kutokana Na Maisha waliyo chagua na wengi wanaoishi maisha ya michomoko ambayo ni Hatari kifo chake ni bastola Au kisu maana mzulu ni mtu laini laini kupigana hawezi yeye anajua sana kutumia kisu.

Sasa basi kwa mtanzania yoyote unae taka kuja South Africa hakikisha umejipanga una mtaji wako na usifanye kabisa biashara ya kununua vitu Vya wizi kama Simu radio nk ni una risk tu bure maisha yako South Africa kwani nchi hii ni hatari sana sio kama Tanzania mtu aanze kufukuza mwizi mwizi huku hiyo haipo labda South Africa miji midogo dogo kama mpumalanga nk lakini sio miji mikubwa mikubwa na ukiona rafiki yako anakutaka uje South Africa muulize unafanya ishu gani huko maana ukikurupuka JIANDAE KUISHI MAISHA YA MICHOMOKO.
View attachment 2639016
Safi kwa uzi mzuri mkuu.
 
Imeandikwa Na Bosco

Ukisikia South Africa Haraka haraka unachanganyikiwa na kuona ni nchi yenye pesa na kazi nje nje hapana haipo hivyo kwa miaka hii maisha ya wabongo wengi South Africa ni michomoko (MICHOMOKO) michomoko ni uwizi yani mwizi akiona mtu kaondoka kwenye ghetto lake Au nyumba yake basi yeye huja apo akiwa na Gari Au bila gari na kuuvunja mlango wa chumba Au nyumba hiyo aliyo kusudia kuiba na kuondoka na vitu ghali kama radio, Simu, frij, tv nk. Michomoko ni kazi Maalum sana kwa wabongo wanaoishi. Dzonga Bila Vibali Maalum hujiita baharia na mwisho wa siku kazi hizi ukikamatwa ni shaba tu maana South Africa kufukuza mwizi hawawezi ni watumiaji wazuri wa silaha mbili tu Shaba na kisu na kazi nyingi ambazo ukiwa mtanzania. umekurupuka tu KUJA South Africa Bila dira jiandae moja wapo mchomoko, kuwa tapeli, Nk Yani Kazi yoyote ya ovyo Itakuwa yako ugome ukatae na mwisho wako utakuwa mbaya sana maana kama mwezi umepita kuna mtanzania aliuwawa kwa Kuchomwa kisu na kisa chake kilikuwa hivi alitoka Tanzania bila mtaji wala dira alivyo fika Johannesburg ikabidi awe anauza madawa ya kulevya sasa boss wake alimpa mzigo auze akimaliza arudishe pesa maana yeye kila Kitu anategemea kwa boss kula kulala. ambayo ni maisha ya utumwa sana bora ukomae Bongo tu sasa basi baada ya Jamaa Kuuza hela Zingine akatumia maana ile ni hela mshikaji akawa na uhitaji akatumia kimbembe kuirudisha ataitoa Wapi na boss wake ni mafia boss anafika anataka pesa yake jamaa haeleweki kigugumizi akaachwa kimya kimya bira kupewa mzigo mwingine akawa wa mtaani tu kumbe Jamaa amemuacha hajamsamehe siku Jamaa yupo mtaani akakuta jamaa fulani wameshuka kwenye gari Jamaa alipigwa Visu vya ghafla mtu chini kafa. Kwa Kifupi visa vya South Africa kwa watanzania ni vinasikitisha sana Kutokana Na Maisha waliyo chagua na wengi wanaoishi maisha ya michomoko ambayo ni Hatari kifo chake ni bastola Au kisu maana mzulu ni mtu laini laini kupigana hawezi yeye anajua sana kutumia kisu.

Sasa basi kwa mtanzania yoyote unae taka kuja South Africa hakikisha umejipanga una mtaji wako na usifanye kabisa biashara ya kununua vitu Vya wizi kama Simu radio nk ni una risk tu bure maisha yako South Africa kwani nchi hii ni hatari sana sio kama Tanzania mtu aanze kufukuza mwizi mwizi huku hiyo haipo labda South Africa miji midogo dogo kama mpumalanga nk lakini sio miji mikubwa mikubwa na ukiona rafiki yako anakutaka uje South Africa muulize unafanya ishu gani huko maana ukikurupuka JIANDAE KUISHI MAISHA YA MICHOMOKO.
View attachment 2639016
 
Yaani wabongo wenzetu ndio wakawafanyia hivyo?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
South kaa mbali kabisa na mbongo hata ukisikia wanazungumza kiswahili uchune kabisa Bora ujichanganye na mataifa mengine.
Watz nje ya nchi hatubebani Kama mataifa mengine sababu ya ukosefu wa uaminifu.
Unampokea mtupu anasomba Kila kitu ndani.
 
Back
Top Bottom