Maisha ya mchomoko Afrika Kusini

Maisha ya mchomoko Afrika Kusini

South kaa mbali kabisa na mbongo hata ukisikia wanazungumza kiswahili uchune kabisa Bora ujichanganye na mataifa mengine.
Watz nje ya nchi hatubebani Kama mataifa mengine sababu ya ukosefu wa uaminifu.
Unampokea mtupu anasomba Kila kitu ndani.
Hata hapa Simba na Yanga tu
 
Kuna dogo huku naishi nae kitaa kimoja, kila uchwao story zake ni kuwa anataka kwenda kwa madiba na hana mtaji wala ramani, nimeshamshauri sana but sikio la kufa halisikii dawa,, nitampa asome huu uzi huenda maamuzi yake yakabadilika.
Nakubali mkuu.
 
Kwan hakuna kazi halali hata za chini tu mfano kuwa mhudumu wa mgahawa, kuwa mpishi, kuwa mfanya usafi wa kampuni ya usafi, etc zile kazi za kulipwa ujira wa siku au kazi za kuanza na minimum salary?

Why watu wasianzie hapo chini huku wakijitafuta kwenda juu?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ni tamaa tu, hizo kazi za chini kokote kwenye miji mikubwa zipo.sema watu wanataka watoboe fasta ili waje waoshee huku nyumbani
 
Mimi kuna siku nawaza tu niuze kila kitu niende nchi yeyote angalau nipate experience tofauti ya maisha.
sasa ukiuza vitu ndo uende,vp kama ukachemsha huko uendako,yaan urud na kuanza moja kwel?mim huwa naona Tanzania ni fair ground kwa watu weng kutoboa kwa kuwa bado mamlaka zetu na taasis zimezubaa!
 
sasa ukiuza vitu ndo uende,vp kama ukachemsha huko uendako,yaan urud na kuanza moja kwel?mim huwa naona Tanzania ni fair ground kwa watu weng kutoboa kwa kuwa bado mamlaka zetu na taasis zimezubaa!
Nakubali mkuu
 
Kuna mzee mmoja ni mzungu rafiki yangu, siku moja akanikaribisha kwake tukawa tunapiga story, sasa katika story ikaingia mada ya uwindaji wanyama si akasema yeye ni muwindaji mara kidogo akaingia ndani aja na gobore lake lakuwindia, ikanibidi na mimi nilitoe bikra kwakulishika na akanifundisha basic zake

Mzee akasema kijana wangu sio ilo tuu nina mdogo wake na huyo kwa wale wa hijacking huwaga ni mwendo wakutenganisha mchuzi na mboga hanaga mbili kwenye moja, yani ni ubongo pwaaaa mifupa kule ubongo huu hapa kichwa hakijulikani kilipo.

Nikawa napiga mahesabu wazee wamchomoko ndio wameingia ndani wakazani mzee hayupo kumbe amelala na akasikia mlango unafungulia na mbongo yeye ni twaa twaa. Keesho Mtaani daftari la mchango linapitisha

Jamaa yangu mwingine ananipa story yamchomoko wameingia ndani kwa mzungu wakakuta ana gym vifaa vyote, jamaa akasema ndio mara yake ya kwanza kuiba akakutana na vitu kama hivyo, wakati yupo bize na kazi iliyompeleka hapa mawazo yake yapo kwa ikitokea jama yupo ndani ameamua kutulia wao watakuwa punching bag. Yani niwangevunjwa viungo alafu gazi ikiisha waendelee kuvunjwa vunjwa viungo, maana hiyo nyumba jamaa anadai atakuwa mtu wa kick boxer
 
Back
Top Bottom