BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,343
Kuna dogo huku naishi nae kitaa kimoja, kila uchwao story zake ni kuwa anataka kwenda kwa madiba na hana mtaji wala ramani, nimeshamshauri sana but sikio la kufa halisikii dawa,, nitampa asome huu uzi huenda maamuzi yake yakabadilika.