Tsumma Lee
Member
- May 6, 2023
- 21
- 7
Na katika hiyo miji uliyoitaja Pretoria🇿🇦 ndo mji salama zaidi kuliko hiyo miji mingine. Mi nipo hapa Pretoria nafanya kazi katika Berbarshop ya waganda na nashukuru mungu maisha yanaenda.niliwahi kufika Jo’burg miaka kadhaa nyuma uko poa sana. ila miji kama Pretoria na cape town ni ghali sana kuishi.
niko tyr kukosolewa.
ndo mji salama zaidi kuliko hiyo miji mingine. Mi nipo hapa Pretoria nafanya kazi katika Berbarshop ya waganda na nashukuru mungu maisha yanaenda.